Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,035
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe.

Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma.

Matiko amesema kasi ya upelekaji fedha kwenye miradi hiyo ya kimkakati ikiwemo kwenye sekta ya nishati, afya, elimu, maji na miundombinu inashawishi wananchi kulipa kodi.

Matiko pia amelilia maslahi kwa askari magereza akipendekeza yaboreshe kama ilivyo kwa askari wa vikosi vingine vya hapa nchini ikiwemo mishahara na upandishaji wa vyeo.

Sawa ni wajibu wake
 
View attachment 2665311
Jukwaa lingependa lipewe ufafanuzi wa kisheria na uhalali wa kuwaita wabunge wa CDM!! Refer kauli ya Jesca kishoa bungeni alisema wazi mbele ya bunge kua wao washafukuzwa uanachama!! Unfortunately mtetezi wao kwa maslahi anayoyajua yeye alimbwatukia kishoa atengue kauli yake ya kufukuzwa uanachama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nchi ya hovyo hii!!!
 
Matiko pia amelilia maslahi kwa askari magereza akipendekeza yaboreshe kama ilivyo kwa askari wa vikosi vingine vya hapa nchini ikiwemo mishahara na upandishaji wa vyeo.
Watumishi wote wa madaraja kuanzia G kushuka wana hali mbaya kabisa
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe.

Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma.

Matiko amesema kasi ya upelekaji fedha kwenye miradi hiyo ya kimkakati ikiwemo kwenye sekta ya nishati, afya, elimu, maji na miundombinu inashawishi wananchi kulipa kodi.

Matiko pia amelilia maslahi kwa askari magereza akipendekeza yaboreshe kama ilivyo kwa askari wa vikosi vingine vya hapa nchini ikiwemo mishahara na upandishaji wa vyeo.

Mbona alikwisha fukuzwa Chadema na hakanyagi ofisi za Chadema isipokua huenda ofisi za CCM.
 
Mbona wanachukua ruzuku kwa Hawa hawa wabunge?
Aibu yako. Ruzuku haitokani na wabunge wa viti maalum bali wabunge wa viti maalum wanatokana na idadi ya kura za urais na idadi ya wa wabunge wa majimboni, na hata hiyo ruzuku inatokana na idadi ya kura za urais.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe.

Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma.

Matiko amesema kasi ya upelekaji fedha kwenye miradi hiyo ya kimkakati ikiwemo kwenye sekta ya nishati, afya, elimu, maji na miundombinu inashawishi wananchi kulipa kodi.

Matiko pia amelilia maslahi kwa askari magereza akipendekeza yaboreshe kama ilivyo kwa askari wa vikosi vingine vya hapa nchini ikiwemo mishahara na upandishaji wa vyeo.

Huyo ni mbunge wa Mahera na Ndungai.
 
Aibu yako. Ruzuku haitokani na wabunge wa viti maalum bali wabunge wa viti maalum wanatokana na idadi ya kura za urais na idadi ya wa wabunge wa majimboni, na hata hiyo ruzuku inatokana na idadi ya kura za urais.
Aibu yenu nyie NYUMBU ...mnaosema hili na kesho mnabadili maneno
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe.

Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma.

Matiko amesema kasi ya upelekaji fedha kwenye miradi hiyo ya kimkakati ikiwemo kwenye sekta ya nishati, afya, elimu, maji na miundombinu inashawishi wananchi kulipa kodi.

Matiko pia amelilia maslahi kwa askari magereza akipendekeza yaboreshe kama ilivyo kwa askari wa vikosi vingine vya hapa nchini ikiwemo mishahara na upandishaji wa vyeo.

CHADEMA HAINA MBUNGE WA VITI MAALUM ACHA KUPOTOSHA
 
Back
Top Bottom