nawaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninahitaji damu kwa ajili ya mgonjwa, wapi naweza pata kwa kununua?

    Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara. je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10. I mean no malice to nobody Asanteni wakuu, nimesha pata ufafanuzi na msaada zaidi. Shukrani sana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala najikuta nimegeuka upande wa miguuni, nawaza nini kinanitokea kila siku?

    Wakuu, naombeni msaada Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu. Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa...
  3. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔 Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  4. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu kuhusu wanaosemekana kupotea tangu 29/10/2025

    Kumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025. Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao. Je, nini kifanyike. 1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ? 2: Ndugu watakaojitokeza na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga

    Rapa Chid Benz ameongea kwa hisia sana kuhusu familia yake, akisema, "Nilikuwa nawaza siku ifike mama yangu aone situmii tena unga" na aliposaidiwa aliona kama ametua mzigo mzito.
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wale waliokuwa wanakatwa walikimbilia CHADEMA sasa itakuwaje?

    Tumezoea huko nyuma mkikatwa mnakimbilia chadema nawaza mwaka huu sijui mnaelekea wapi wallahi napita tu
  8. Surya

    JamiiForums Tanzania Siku ya tendo, nawaza vingi

    Sijui kama nachunguza sana, lakini huwa hivi... Mwanaume na Mwanamke wakikutana kufanya tendo Kuna hisia nyingi za tofauti uonekana. Nini hasa kimekuvutia kufanya ngono na huyo mwenza wako ?? Haya ni matukio baadhi ninayoyajua hutokea siku ya kwanza kusex na mtu fulani. 1. Unapewa ndio ila...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Nawaza labda Lissu anaweza akawa Exiled

    Ofcourse najua hayo mashtaka yatafutwa ila what if Lissu akapelekwa Exile?...
  10. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania SIJAJUA NAWAZA, AU NAFIKIRIA AU NI NDOTO KWAMBA KWA TANZANIA INGEKUAJE KWA MFANO'

    Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme. Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako talented kwenye nyimbo za mapambio Anakuja kiongozi mkubwa kabisa hii miaka minne haijawahi kutokea, kule...
  11. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  13. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

    Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender. Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
  14. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

    Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani. Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu. Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela. Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nawaza hali ya "Mama Abdul" kwa sasa Baada ya Simba kupata Usukani

    Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

    Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki. Kuna matukio mengi sana kwa sasa...
  17. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

    Wanajamvi za muda huu?, https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
  18. MUWHWELA

    JamiiForums Tanzania AI (Artificial Intelligence) inaupeleka ulimwengu kwenye uharibifu mkuu, kwanini nawaza hivi?

    TWIME TUBITE Napenda kuufahamisha umaa na mhariri mkuu kwamba mjadala huu ulifaa uwe kwenye technology,Lakini mantiki yake inafaa kujadiliwa na kusomwa na watu wenye maulizo yasiyo ya kawaida. ------------- Akili bandia, Kuna binadamu wenzetu wanawaza na kutenda kwa namna ya kipekee sana, ama...
  19. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Nipo nawaza...

    Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi. Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata...
  20. Cheology

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu aliingia gest akafanya hivi nawaza mara mbili mbili IQ yake inawaza nini

    Ni kitendo cha kiwango cha ki mauaji Si kila mtu anaweza kawaza haraka haraka hili. Yaani hapa ataitwa meneja au polisi au mjumbe. Sio jambo dogo. Sasa watakuwa wamekuudhi au unawachezea tu??
Back
Top Bottom