Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 783
- 525
Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje.
Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya kuziona nyakati zote za uongozi wa Nchi hii tunauona mzigo mkubwa uliojitwisha wa kuiongoza Nchi yenye watu zaidi ya million 60.
Baba Nyerere alianza na milion 9 tu akaiweka misingi changamoto zilikuwepo lakini sasa ni zaidi. sina hakika kama kwa changamoto za sasa za watu wataishije, watoto wa Taifa watasomaje, nchi italindwaje, miundombinu itatunzwaje matishio ya majanga nk.
Mama unastahili maombezi, na kila nikipiga goti kumsihi Mungu wewe utakuwa wa kwanza. Mama tulindie amani yetu.