Nawaza namna ya kumkataa rafiki yangu ambaye muda wote anawaza mbususu tu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili

Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu

Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye komwe, mara ooh nimekula mbususu iliyoumuka, mara kuna nyuchi mbili naziskilizia, mara binti fulani akiniona anapatwa na kwikwi, mara eti kala mbususu za wanafamilia wote, mara mke wa mtu katoka mkoani ili kuja kuonja ukuni wake!

Akijitahidi kuongea la maana utaskia "Jinsi ya kumfanya mwanamke apandwe na genye"

Ni jitu zima, lakini bichwani oppress. Na huyo huyo anakwambia kuwa ana familia mkoani, pia ana mtoto wa siri kwa mke wa mtu X

Nianze vipi kumchana ukweli wakuu?

Kwa hali hii, nitaondoka na mke wangu, niache nyumba yangu, nihamie Burundi. Kwa mwenendo huu sina rafiki wala jirani
 
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Kama ni type hizi je ww acha kabisa hizi nyama hizi
Screenshot_20230502-222709~2.png
 
huyo anaonekana ni insecure ana kiba100.... anahangaika kuongea kuhusu wanawake afu ukute ni mtu sekunde 20 tu.... akikua ataacha
Mzabizabi karibia kila uzi wa mhususu anasema ana kibamia na Yuko proud of na kibamia chake. Naunganisha dot na huu uzi, rafiki wa jamaa atakuwa ni yeye asee.

Mleta mada,huyo jamaa umemuuliza Kama anapenda three some?
 
Back
Top Bottom