mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Maznat Bridal: Msomi wa Sheria na mrembo aliyeteka moyo wa Profesa!

    Mrembo huyu wa kiwango cha dunia ndie aliyeteka na kulainisha Moyo wa Profesa Nguli toka upareni. Hapana chezea utamu nyie. PhD (LLD) tupa kule Bibie alipindua meza ya Mke wa ndoa akajiweka kwa Prof
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mrembo asisitiza maadili kwa wadada wenye tamaa za IPHONE 18 (video)

    Mrembo toka Masaki amesisitiza wadada waache tamaa katika maisha
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumtongoza mrembo wa jf

    Unamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.'' Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza. Kazi kwenu, mabaharia.
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Merry Patrick Daniel afariki Dar es Salaam, Ndugu zake wanatafutwa

    Merry Patrick Daniel, ambaye kwa mujibu wa taarifa zilizopo amefariki dunia na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, Dar es Salaam, aliwahi kusema akiwa hai kwamba yeye ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo, bado haijafahamika alikuwa akishi au anatokea eneo gani ndani ya...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sharon Julius ndo mshindi wa tatu wa Miss Elite World. Ole wake aseme ushindi wa Samia

    Tanzania kumtokea upumbavu fulani. Mtu tunamshika mkono huku chini. Akifika juu anaanza kujimaliza. Sijui ushindi huu ni zawadi ya Mzanzibar Samia sijui bila yeye tusingefika hapa. Ukome na ukisema tunakutia mimba unakuwa singo maza. Japo ni nafuu kuliko mjane. Ipo hivi,Sharon amefanikiwa...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mrembo aacha kazi apate muda wa kumnyonyesha mpenzi wake

    MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36. Mwanamke huyo, ambaye awali alikuwa akifanya kazi kama mhudumu wa baa, alidai kuwa aliamua kuacha kazi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026

    Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026. Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

    hii kauli imeharibu mahusiano ya wanawake wengi na kuwatoa kabisa kwenye ramani..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mrembo akishaondoka ndio unaanza kukumbuka style mpya kabambe😁

    Jitahidi upate sex mara kwa mara sio mara moja kwa wiki. Ukifanikiwa kwa hilo hutojilaumu kwa hili
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo kusema ukweli nampenda sana . Sema ndio hivyo

    Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫 Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006. Nadhani Kuna filamu ya jet li nimesahau jina yumo huyu mrembo...dah sema ndio hivyo🥹🥹💔💔💔. Binti wa zamani utatia neno...
  11. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mchungaji afia gesti akiwa anamuombea maombi ya faragha mrembo wa Kanisani kwake

    Mchugaji Michael Kofi Appiah muanzilishi wa kanisa la Light of Faith Ministry, Tokoradi -Ghana amefariki kifo cha kushtusha baada ya kufia gesti alipokuwa akimuombea msichana mrembo katika shughuli za nje ya kanisa. Uchunguzi wa polisi ulionesha kuwa mchungaji Kofi alikuwa amefika hapo na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inamshikilia Joe McCann, Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee kwa mahojiano

    Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa zilizopita baada ya kukutwa amejinyonga katika chumba cha hoteli. Akizungumzia tukio hilo leo April 14...
  14. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  15. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Offer ya Iddi kutoka kwa mrembo anayevutia.

    Wakuu yani nimeshajiandaa natinga Bongo kutoka mamtoni tarehe 19. Yani mfungo unaisha tu unakaribishwa na mambo mema na matamu ya duniani. Mrembo Janepher Sanga katoa offer ya Iddi Shilingi elfu 50 tu. Je mwanaume utakubali offer hii ikupite kirahisi na Kizembe hivi hivi. Msikie mwenyewe...
  16. geesten66

    JamiiForums Tanzania Je, mimi ni mrembo sana au wa size ya kati?

    Kwa wanaume tu naombeni mnipe sifa zangu. Ila mimi ni single mama
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mhaini mrembo! Ila, Tanzania imeshindikanika!!

    Binti Mhaini anashtakiwa kwa kutaka kupindua Serikali ya Samia, wameua ndugu zetu wanaleta kesi ili tuache kujadili mauaji tusiingie huo mkenge.
  18. Poker

    JamiiForums Tanzania Hivi Nancy Sumari ndio alikuwa mwanamke mrembo Tanzania nzima?

    Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima. Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia...
  19. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke mrembo unayemuona, ana mwanaume ambaye amechoka kuwa naye kwenye mahusiano

    Take Note.
Back
Top Bottom