Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi!

Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana

Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo

1. Unapunguza jazba na kujizana jibizana mitandaoni

2. Kukejeli unaowaongoza (Kama vile kuwaambia watu uganga wa kienyeji ndo wayajadili zaidi ya matatizo ya wananchi, Kama vile kusema wahamie Burundi badala ya kuwapa matumaini)

3. Kauli za nchemba miaka kumi nyuma ni Hatari zaidi, na mauaji Mengi yametokea akiwa waziri wa mambo ya ndani kwenye kale kundi G5G hapo nyuma,

Ukija kwa Januari Makamba
Huyu si Muafilifu kabisa tumepigwa sana Pesa, alipoingia tu uwaziri 3.97Bilion zilipotea nikadokeza mtu, wakapotezea,

Amekuwa aki channel Pesa Kupitia tenda za TANESCO na Wizara (Mita mbovu zaidi ya 100,000) nchi nzima na Bei ilosemwa kituko

Amekuwa Ana monitor minada inayofanywa na TANESCO na WIZARA kuuza Mali chakavu

Wizara kiujanja ili tangaza mnada wa hadhara wa vifaa chakavu. Mnada huo ulifanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Novemba, 2021 kuanzia saa 4 :00 asubuhi kwenye eneo la Ofisi za Wizara ya Nishati Mtaa wa Samora Jengo la TANESCO. (karibu na Jengo la British Council)

Vifaa vilivyouzwa kiini Macho ni pamoja na Viti, Meza, Steel Cabinets, Microwave, Air Condition, fax Mchine, Telephone receivers, Printers, Scanners, Computers, na UPS. Hivi hakukuwa na kifaa chakavu ilikuwa ni dili la mkubwa kumpa mwenzake wa kariakoo tenda ili waongeze ten percent kwenye vifaa vingine watakavyonunua, na mbaya Zaidi vifaa si vyote viliuzwa na ikatumika pesa kubwa ya wizara kufanya kwamba wameagiza vifaa vingine, Takriban million 700, yaan vifaa vyenyewe havifiki hata million 80, anyway sisi kanyaboya tulikaa kimya,
kuna gari jipya la wizara likawekwa plate number binafsi mara moja nalo eti kapata kwa mnada wakati hata kwenye orodha halikuwapo kauziwa mwenzao kiujanja Kama chakavu na tenda ikaandikwa Upya kupata gari jingine haraka Kwa bei ya juu 420M

Taarifa ya Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini lakin katika migodi hiyo kuna migodi hewa imeorodheswa na kuonekana pesa inayotakiwa kupelekwa ni kwa migodi 307 tu wala si 336 kama tunavyo ambiwa na wizara hapa kuna upigaji mkubwa sana, katika billion 300 iliyotengwa basi kuna 42,168,000,000 Yaan Bilion 42 zimeshaelekea Kibra asubuhi na mapema, si hapo tu kuna Taarifa za Ku repair Vipuli kila siku invoice ni za maeneo yale yale na hakuna kinachorekebishwa ila zinasainiwa pesa tu wanaondoka

Takriban Miezi minne mfululizo kuanzia mwezi wa 2-6 mwaka huu zimeshenda pesa hewa zaidi ya 546,000,000 Kwa matengenezo hewa ambayo hayafanyiki

Kijana hafai kabisa huyu

Nilisema hapa Mwaka juzi

Vijana nawakumbusha hawa wasijione wameshafika top level

Lolote kwenye siasa laweza kutokea

NGOJA NIWAKUMBUSHE KIDOGO

1. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diploma, degree, masters, PhD, hupotea kabisa. Ni katika umri huu, inawezekana mwenye elimu ndogo, akatengeneza pesa nyingi sana kuliko mwenye elimu kubwa. Waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu.

2. Kama ulikuwa haujui, ikifika umri wa miaka 50, mtu aliyesemekana kwamba alikuwa mrembo, na mtu aliyesemekana kwamba alikuwa ana sura mbaya, wote wanaanza kuwa sawa tu. Ni wakati huu, mikunjo usoni, vipara kichwani, mvi n.k, haviwezi kukwepeka tena.

3. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 60, watu wanakuwa wamestaafu kazi, aliyekuwa na cheo kikubwa na aliyekuwa na cheo kidogo, wote wanakuwa sawa tu. Ni wakati huu, hawa watu wanakuwa washikaji, wanaanza kukaa kijiwe kimoja, wanapiga story zenye idea zinazofanana, mara nyingi utawakuta makanisani au misikitini pamoja.

4. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 70, mwenye nyumba ndogo na mwenye nyumba kubwa, wote wanakuwa sawa tu, wote wanahitaji nafasi ndogo sana ya kukaa, kwa kuwa ni katika kipindi hiki, kuhamisha-hamisha vitu, inakuwa taabu sana. Mwenye ghorofa atapenda kukaa nyumba ya chini, kwa kuwa miguu yake inaanza kukosa nguvu. Ni wakati huu, watoto huwaachia nyumba na kwenda kuanza maisha yao, hivyo, nyumba huwa kubwa kuliko mahitaji.

5. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 80, walio na pesa na wasio na pesa, wote wanakuwa sawa tu, hata mwenye pesa anapotaka kutumia pesa zake, anakuwa hajui wapi pa kwenda, wote tajiri na masikini, hubaki nyumbani tu.

6. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 90, kulala usingizi na kuamka, vyote vinakuwa sawa tu, kwa kuwa hata ukiamka, unakuwa huna cha kufanya,hapa masikini na tajiri, wote wanasubiri kifo tu.

Katika maisha, kama wewe ulidhani ni mtu muhimu kuliko watu wengine, kwa sababu ya elimu,uzuri,nafasi yako kazini, nyumba,au kipato chako kuwa kikubwa. Basi ulikuwa hujui tu,wewe ni wa kawaida sana, hakuna mtu mwenye nafasi kubwa kuliko mwingine, ni suala la muda tu.

Britanicca
 
Kuna mwaka Fulani kiongozi mmoja alisema watu wabaki na mavi yao na alikuwa Rais wa nchi.

Bado akina mwigulu hawajafikia kiwango Cha kutosha.
 
Mwaka 2030 Rais hawezi kutoka Ccm, Watanzania siyo mazuzu kiasi hicho unachowaza.
Ni kweli ushindani itakuwa mkubwa sana na CCM wanaweza kushinda kwa mbinde au wizi wa Kura, Maana naiona CCM inaendelea kudhoofika,

Na hi si kwamba Vyama vya Upinzani vinaimarika Hapana ni kwakuwa CCM ndo inadhoofika,

Kwa mtego ambao naona vyama vya upinzani wakiingizwa na CCM usitegemee,

ACt wazalendo Jengo wanalipiwa na January makamba na Pesa ilipopitia hadi kipindi inakabidhiwa I know everything, and what is the motive behind,

Mbowe kutoka gerezani hakutoka hivi hivi Bali mama alishauriwa amuachie ili amsaidie ku soften hali nje ma niliandika uzi

Nao wameingia kwenye Mfumo tayari

Britanicca
 
Nimetolea Mfano, yaweza akawa mwingine pia hata Mwanamke maana wanasema kuna mwanamke lazima ashike nchi tofauti na Samia
Hao wanasema ni wengi mimi nikiwa mmoja wao Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke na Mwanamke mwenyewe pia nimewatajia!.
Wanabodi

Hivyo namshauri Mama afanye tuu maandalizi ya kuisubiria hiyo sauti kwa kumuomba , aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Rais Samia, kwa yeye kukubali kuwa rais wa awamu moja tuu.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe mgombea mwanaume, ama .
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe bado hajui kuwa 2025 sii yeye kwasababu yeye bado hajaelezwa kuwa sio yeye, na ndio sababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea mwanamke, unaweza kuta 2025 ni Mama Samia mwenyewe baada ya kuingia by default awamu hii ya kwanza, sasa anajipanga kuendelea awamu ya pili, properly kwa ule mserereko wa CCM , huku Dr. Mwinyi akiji set for his second term in Zanzibar kwa mserereko wa CCM na wala hajui kuwa kuna sauti inamtaka yeye ndiye aje awe rais wa JMT, 2025!, hivyo maono kama haya, yanasaidia sana kuwaandaa watu kisaikolojia!.

Hata ile siku niliyoisikia sauti hii
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... Spika Job Ndugai hakujua kuwa yeye hatakuwa Spika, wala Dr. Tulia hakujua kuwa yeye ndiye atakuja kuwa spika ajae!.

Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
P
 
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi!

Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana

Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo

1. Unapunguza jazba na kujizana jibizana mitandaoni

2. Kukejeli unaowaongoza (Kama vile kuwaambia watu uganga wa kienyeji ndo wayajadili zaidi ya matatizo ya wananchi, Kama vile kusema wahamie Burundi badala ya kuwapa matumaini)

3. Kauli za nchemba miaka kumi nyuma ni Hatari zaidi, na mauaji Mengi yametokea akiwa waziri wa mambo ya ndani kwenye kale kundi G5G hapo nyuma,

Ukija kwa Januari Makamba
Huyu si Muafilifu kabisa tumepigwa sana Pesa, alipoingia tu uwaziri 3.97Bilion zilipotea nikadokeza mtu, wakapotezea,

Amekuwa aki channel Pesa Kupitia tenda za TANESCO na Wizara (Mita mbovu zaidi ya 100,000) nchi nzima na Bei ilosemwa kituko

Amekuwa Ana monitor minada inayofanywa na TANESCO na WIZARA kuuza Mali chakavu

Wizara kiujanja ili tangaza mnada wa hadhara wa vifaa chakavu. Mnada huo ulifanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Novemba, 2021 kuanzia saa 4 :00 asubuhi kwenye eneo la Ofisi za Wizara ya Nishati Mtaa wa Samora Jengo la TANESCO. (karibu na Jengo la British Council)

Vifaa vilivyouzwa kiini Macho ni pamoja na Viti, Meza, Steel Cabinets, Microwave, Air Condition, fax Mchine, Telephone receivers, Printers, Scanners, Computers, na UPS. Hivi hakukuwa na kifaa chakavu ilikuwa ni dili la mkubwa kumpa mwenzake wa kariakoo tenda ili waongeze ten percent kwenye vifaa vingine watakavyonunua, na mbaya Zaidi vifaa si vyote viliuzwa na ikatumika pesa kubwa ya wizara kufanya kwamba wameagiza vifaa vingine, Takriban million 700, yaan vifaa vyenyewe havifiki hata million 80, anyway sisi kanyaboya tulikaa kimya,
kuna gari jipya la wizara likawekwa plate number binafsi mara moja nalo eti kapata kwa mnada wakati hata kwenye orodha halikuwapo kauziwa mwenzao kiujanja Kama chakavu na tenda ikaandikwa Upya kupata gari jingine haraka Kwa bei ya juu 420M

Taarifa ya Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini lakin katika migodi hiyo kuna migodi hewa imeorodheswa na kuonekana pesa inayotakiwa kupelekwa ni kwa migodi 307 tu wala si 336 kama tunavyo ambiwa na wizara hapa kuna upigaji mkubwa sana, katika billion 300 iliyotengwa basi kuna 42,168,000,000 Yaan Bilion 42 zimeshaelekea Kibra asubuhi na mapema, si hapo tu kuna Taarifa za Ku repair Vipuli kila siku invoice ni za maeneo yale yale na hakuna kinachorekebishwa ila zinasainiwa pesa tu wanaondoka

Takriban Miezi minne mfululizo kuanzia mwezi wa 2-6 mwaka huu zimeshenda pesa hewa zaidi ya 546,000,000 Kwa matengenezo hewa ambayo hayafanyiki

Kijana hafai kabisa huyu

Nilisema hapa Mwaka juzi

Vijana nawakumbusha hawa wasijione wameshafika top level

Lolote kwenye siasa laweza kutokea

NGOJA NIWAKUMBUSHE KIDOGO

1. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diploma, degree, masters, PhD, hupotea kabisa. Ni katika umri huu, inawezekana mwenye elimu ndogo, akatengeneza pesa nyingi sana kuliko mwenye elimu kubwa. Waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu.

2. Kama ulikuwa haujui, ikifika umri wa miaka 50, mtu aliyesemekana kwamba alikuwa mrembo, na mtu aliyesemekana kwamba alikuwa ana sura mbaya, wote wanaanza kuwa sawa tu. Ni wakati huu, mikunjo usoni, vipara kichwani, mvi n.k, haviwezi kukwepeka tena.

3. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 60, watu wanakuwa wamestaafu kazi, aliyekuwa na cheo kikubwa na aliyekuwa na cheo kidogo, wote wanakuwa sawa tu. Ni wakati huu, hawa watu wanakuwa washikaji, wanaanza kukaa kijiwe kimoja, wanapiga story zenye idea zinazofanana, mara nyingi utawakuta makanisani au misikitini pamoja.

4. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 70, mwenye nyumba ndogo na mwenye nyumba kubwa, wote wanakuwa sawa tu, wote wanahitaji nafasi ndogo sana ya kukaa, kwa kuwa ni katika kipindi hiki, kuhamisha-hamisha vitu, inakuwa taabu sana. Mwenye ghorofa atapenda kukaa nyumba ya chini, kwa kuwa miguu yake inaanza kukosa nguvu. Ni wakati huu, watoto huwaachia nyumba na kwenda kuanza maisha yao, hivyo, nyumba huwa kubwa kuliko mahitaji.

5. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 80, walio na pesa na wasio na pesa, wote wanakuwa sawa tu, hata mwenye pesa anapotaka kutumia pesa zake, anakuwa hajui wapi pa kwenda, wote tajiri na masikini, hubaki nyumbani tu.

6. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 90, kulala usingizi na kuamka, vyote vinakuwa sawa tu, kwa kuwa hata ukiamka, unakuwa huna cha kufanya,hapa masikini na tajiri, wote wanasubiri kifo tu.

Katika maisha, kama wewe ulidhani ni mtu muhimu kuliko watu wengine, kwa sababu ya elimu,uzuri,nafasi yako kazini, nyumba,au kipato chako kuwa kikubwa. Basi ulikuwa hujui tu,wewe ni wa kawaida sana, hakuna mtu mwenye nafasi kubwa kuliko mwingine, ni suala la muda tu.

Britanicca
Huyu n mtu anaefanya kazi wizara ya NISHATI au anapenyezewa nyeti na mnishati -anaongea kwa ushahidi usiokuwa na shaka (vivid justifications).

Makamba kazi yake ni kulialia kuwa mzee (Yusufu Makamba) kasema hiki na hiki. Hana Uwezo wa kusimama mwenyewe, hivyo hana Uwezo wa kuongoza nchi hata kidogo.

Mwigulu Madelu Nchemba ana tabia ya ulimbukeni wa kujisikia Sana na kufikiri kuwa ndye Daktari wa kwanza wa uchumi nchi Tanzania. Hafai kuwa Rais wa nchi.
 
Kigogo 2014 umecharuka sijui mumedhulumiana nini huko mnasanuana tu
 
Hii nchi kuna watu wana kula pesa sio poa..hawa niwa kunyonga hawaridhiki
 
Back
Top Bottom