urefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kauli ya Rais Samia ya kila mtumishi wa umma kula kwa urefu wa kamba yake inasababisha ufisadi na ubadhirifu?

    Pesa nyingi za umma zinatolewa kwa ajili ya miradi ya umma na maendeleo ya wananchi. Zinaliwa na zinatafunwa. Ripoti ya CAG ipo wazi Rais Samia aliwahi kutamka wazi kuwa watumishi wa umma wale kwa urefu wa kamba zao. Ila tu wasivimbiwe. Acheni pesa za umma zitafunwe huku wananachi wakikosa...
  2. Msanii

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  3. Tman900

    Urefu wa Mama Mjamzito

    Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu. Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
  4. figganigga

    Jengo la PSPF mita 134 ndo Refu Tanzania, Wenzetu wanajenga Jengo lenye Urefu wa Mita 1,700 huko Tokyo

    Jengo la PSPF Ukiacha na Jengo refu kabisa duniani la Burj Khalifa la huko Dubai lenye urefu wa kwenda Juu zaidi ya Mita 828, sasa yanajengwa Majengo mapya Marefu kulipita na yanatazimwa kufunika kabisa Khalifa. Je, Watafanikiwa kuyajenga? Jengo la TPA Kwa Upande wa Tanzania, Jengo PSPF...
  5. Chizi Maarifa

    Sababu ya Dhakari (em bi o o) kuongezeka urefu na unene

    Nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nini could be a reason. Sababu mwanamke wa tatu sasa analalamika jambo hilo kuwa Chidy dhakari yako imeongezeka. Nami naona tofauti kiasi flani. Lakini nashangaa kwa umri huu wa above 50 inawezekana vipi ikaongezeka? Kuna kipindi flani kweli...
  6. B

    Ujenzi wa barabara Bugene - Burigi Chato urefu kilometa 60

    Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK unaendelea https://m.youtube.com/watch?v=GkkKS4c16Rg SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya...
  7. M

    TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

    ======= Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na Idara ya TEHAMA ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15...
  8. Mwande na Mndewa

    Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  9. Stephano Mgendanyi

    Wanachi wa Wilaya ya Momba Wamefurahishwa na Ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika Yenye Urefu wa Kilomita 33

    WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA. Na Mwandishi wetu - Momba Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na...
  10. Mjukuu wa kigogo

    Bado nawaza na kujiuliza Sakata la Bandari. Tatizo ni urefu wa mkataba, terms and conditions zilizomo au tatizo ni kuvuja kwa mkataba?

    Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini? Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
  11. simplemind

    Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

    Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake. Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
  12. Roving Journalist

    TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Kula kwa urefu wa kamba yako

    Inasikitisha sana! Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha. Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.
  14. ChoiceVariable

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake. Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering...
  15. Mr Why

    Maombi yangekuwa yanajibiwa mimi ningeomba kuongezewa urefu na upana wa fimbo

    Kwakweli mimi sio muombaji kifupi nimekata tamaa kabisa kwenda kwenye maombi ya aina yoyote kwasababu sioni matokeo ya wanao omba. Matokeo yangekuwa ya kweli wala sina mengi ya kuomba zaidi ya fimbo pana na ndefu ili niweze kuchapa matatizo ya akina dada zetu wanaoteseka usiku na mchana...
  16. Roving Journalist

    Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  17. BigTall

    Barabara 3 zenye urefu wa Kilometa 238.9 zimejengwa kwa Tsh. Bilioni 321.24 Mkoani Tabora

    Tabora ni moja ya miji ambayo Serikali ya Tanzania imewekeza nguvu katika kuboresha miundombinu ya barabara ambapo kuna miradi kadhaa inaendelea na mingine imekamilika. Rwegoshora Michael ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Tabora, ameeleza kuwa kwa jumla mkoa huo una Kilometa 2,188.09 za...
  18. DodomaTZ

    Ujenzi wa barabara ya Ludewa - Kilosa yenye urefu wa Kilometa 24 umefikia Asilimia 90

    Musa Madirisha Kaswahili, Mhandisi Mwandamizi, Msimamizi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, TANROADS Morogoro anaelezea hatua iliyofikiwa katika Mradi wa Ludewa - Kilosa (Kilometa 24) Mkoani Morogoro umefika katika 90%. Amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni kunyanyua tuta la barabara na kuweka...
Back
Top Bottom