Search results

  1. kavulata

    Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  2. kavulata

    Sikiliza maswali ya wanahabari wetu, ni kama ya Fei Toto

    Hebu sikiliza na kuona haya Dube na maswali ya waandishi wetu. Safari ni ndefu.
  3. kavulata

    CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Tumetawaliwa na chama kimoja (CCM) tangu nchi ipate uhuru. Serikali ya CCM inahusika na makazi holela yanayokumbwa na mafuriko tunayoyashuhidia yanayosababisha maafa na hasara kubwa wa raia na kodi zetu. Seikali imeruhusu watu kujenga na kulima popote bila kujali kuna hatari gani. Serikali...
  4. kavulata

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar kwasababu moja au nyingine. manufaa ya muungano kila mtu anaweza kuyasimulia bila kuambiwa wala kusoma...
  5. kavulata

    Kumbukumbu ya Sokoine na ongezeko la deni la Taifa

    Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani. Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini...
  6. kavulata

    Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  7. kavulata

    Inonga kama Dube, ameichoka Simba

    Kuna watu wanamsema Inonga kuwa anafanya makosa mengi uwanjani siku hizi kuliko zamani bila kuangalia mambo muhimu. Ukweli ni kwamba Inonga hana raha kucheza Simba. Inonga ni mchezaji mkubwa sana, anapata namba kikosi Cha kwanza Cha DRC ambacho kimesheheni wachezaji wanaolipwa fedha nyingi...
  8. kavulata

    Ahmed Ally ni mjukuu wa Kinjekitile?

    Kinjekitile Ngwale aliwaaminisha watu wake kuwa risasi za askari wa kijerumani zitageuka maji kwenye vita Ile ya majimaji. Hii iliwafanya watu wengi kujiunga na vita Ile, lakini kusema Kweli Kinjekitile aliwadamganya wenzake wakafa wengi sana. Risasi za adui hazikugeuka maji hata kidogo...
  9. kavulata

    Tofauti ya Simba na Yanga kuelekea mechi zao za robo fainali

    Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi za robo, nusu na finali za caf champions, lakini bahati mbaya Benchikha hataingia uwanjani kuzuia...
  10. kavulata

    Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  11. kavulata

    Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  12. kavulata

    Tumuunge mkono Waziri Ndumbaro kwenye uzalendo wa kuvaa jezi

    Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa zenyewe zinapokutana timu za kigeni. Huu ni utamaduni/utani wa jadi ni mbaya sawa na utamaduni wa...
  13. kavulata

    Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

    Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
  14. kavulata

    GSM na Azam nani anadhamini timu nyingi kwenye NBC League?

    Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga zaidi kwenye ligi kwa udhamini wa timu chache kwenye ligi? Unapotaka kuhoji ushindi wa Yanga anza...
  15. kavulata

    Benchikha kakimbia timu mbovu?

    Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba. Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
  16. kavulata

    Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

    Azam FC ilimpata Fei kwa maagizo ya Rais, hawakufuata taratibu za TFF kwanini Dube haitaki Azam lakini afuate taratibu?
  17. kavulata

    Kazini kwa Ahmed Ally kuna kazi.

    Mpira hauchezwi kwenye mwendokasi. Unakaribisha sonona kama usipopata matokeo https://www.youtube.com/watch?v=q5XPwqG7Y-4
  18. kavulata

    Ahmed Ally aliumizwa sana na matokeo ya CR BELOUIZDAD kwa Mkapa

    Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri. Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile. Ahmed...
  19. kavulata

    Mayelle alichagua fedha badala ya furaha.

    Kule pyramids Kuna fedha lakini hakuna furaha kwa Mayelle. Money over happiness¡
  20. kavulata

    Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi inabagua watumishi wa umma na ambao sio watumishi wa umma

    Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi. Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala...
Back
Top Bottom