Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,316
12,615
Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani apate posho ya kuitumikia timu ya taifa badala ya kuzingatia uwezo wa sasa (current form) ya mchezaji, na timu ya aina hii haiwezi kufua dafu kwenye mashindano.

Mpira unachezwa hadharani, na mpira wetu una bahati ya kuonekana viwanjani na kwenye luninga, tunawajua wachezaji wote na juhudi zao.

Maswali ni:
Ni vijana gani wanaandaliwa kwa mashindano ya CHAN?
Ni vijana gani wanaoandaliwa kwa mashindo ya AFCON 2027?
Je, uteuzi wa wachezaji mara hii umezingatia mpango mkakati gani?
 
Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani apate posho ya kuitumikia timu ya taifa badala ya kuzingatia uwezo wa sasa (current form) ya mchezaji, na timu ya aina hii haiwezi kufua dafu kwenye mashindano.

Mpira unachezwa hadharani, na mpira wetu una bahati ya kuonekana viwanjani na kwenye luninga, tunawajua wachezaji wote na juhudi zao.
Umeishia kulalamika tu..ungeweka kikosi chako na kusema kwanini umemteua.
 
Apo kwenye timu ya taifa sikupingi mzee tume failure kwa kiwango kikubwa sana afu apo apo tunategemea 2027 tuje kufanya vizuri kwenye Africon asa kama kevin john hakuitwa kwenye Africon na Ni moja kati ya vijana wenye rekodi nzur sanai kwenye timu za vijana.leo unamuita sopu kesho unamtema Jana ulimuita Job kesho unamtema kiufupi hatueleweki lengo letu kuu ni lipi
 
Kila mtu alitegemea kuanzia sasa vijana ambao tunaamini kuwa watacheza AFCON 2027 ndio ambao wangekuwa wanapewa uzoefu wa kucheza timu ya taifa mechi za kimataifa ili kuzoea. Tungewapa exposure zaidi vijana ambaao tunawaandaa kwa CHAN na AFCON 2027 kuliko kutumia wazee ambao tuna uhakika kuwa mwaka 2027 hawatakuwepo.
 
Apo kwenye timu ya taifa sikupingi mzee tume failure kwa kiwango kikubwa sana afu apo apo tunategemea 2027 tuje kufanya vizuri kwenye Africon asa kama kevin john hakuitwa kwenye Africon na Ni moja kati ya vijana wenye rekodi nzur sanai kwenye timu za vijana.leo unamuita sopu kesho unamtema Jana ulimuita Job kesho unamtema kiufupi hatueleweki lengo letu kuu ni lipi
Tume failure ndo utopolo gani?
 
Back
Top Bottom