fuso

The Mitsubishi Fuso Truck and Bus Corporation (Japanese: 三菱ふそうトラック・バス株式会社, Hepburn: Mitsubishi Fusō Torakku・Basu Kabushiki gaisha) is a manufacturer of trucks and buses. It is headquartered in Kawasaki, Kanagawa, Japan. Currently, it is 89.29 %-owned by Germany-based Daimler AG, under the Daimler Trucks division.Fuso derives from the ancient Chinese term Fusang (扶桑), for a sacred tree said to grow at the spot in the East where the sun rises, and has been used to refer to Japan itself. The actual Fuso tree is a hibiscus.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ajali ya coaster na Fuso maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida

    Hii ajali imetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa kwa ajili ya ukaguzi hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo, Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya. Credit - Adventure_36
  2. kavulata

    Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  3. J

    Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

    Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi. Asante kwa anayejua..!
  4. kavulata

    Kocha Benchikha Abdelhak Simba ni Injini ya FUSO kwenye Bajaj

    Je, uongozi, wachezaji, utajiri na mipango ya Simba inaweza kuvuna mipango, ubora na mahitaji ya kocha Benchikha Abdelhak? Mangungu anaweza kukubali kuacha ulozi na kukumbatia sayansi ya mpira? wanaweza kusajili wachezaji atakaowataka kocha huyu ili alete matokeo kama ya timu alizotoka? Vikosi...
  5. Magari ya Biashara

    Car4Sale Unahitaji kuagiza magari ya biashara Toyota coastr,nissan civilian, Fuso, Canter na Malori pitia hapa (Mkopo upo)

    OFFA KWA MILIONI 60 TU!!!!! MASHINE YA KAZI (MKOPO - 30%) 2005 MITSUBISHI CANTER | 4M50 | Diesel | Manual BEI MILIONI 60 KILA KITU PAMOJA NA USAJILI, Malipo awamu mbili, unaanza na milioni 45 unamalizia na milioni 15 gari ikifika na unaweza kutumia mkopo kwenye hela ya kumalizia ukailipa...
  6. Magari ya Biashara

    Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

    TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD MAWASILIANO 0711707070 AUDI A4 YEAR : 2013 Stock No: 23/000536 Engine Capacity: 1800CC Mileage:49,524KM TRANSMISSION: AT LEATHER SEAT PRICE:35,000,000/= (With Full Registration) TOYOTA...
  7. O

    Ajali ya Harrier na Fuso yadaiwa kuua wawili Morogoro

    Watu wawili wanadhaniwa kufariki na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Harrier lililogongana na lori aina ya Fuso eneo la Melela Mangae wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Ajali hiyo ni ya tatu ndani ya siku tatu mkoani hapo, ambapo juzi basi dogo aina ya...
  8. Pascal Mayalla

    Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

    Wanabodi Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!. Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update. Paskali Update Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa...
  9. YETU MOTORS CO LTD

    Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  10. D

    Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
  11. Financial

    Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  12. Kelvintz11

    Car4Sale Nauza Fuso

    FUSO INAUZWA✅ JIPATIE KWA BEI NDOGO OFFER YA SIKUKUU Mil. 19 Ukilipia Njoo na Dereva wako Gari ni nzima 100% Vehicle details Gari haina Deni lolote ndani ya Mwaka Mzima. ➡️TRA ✅ ➡️SUMATRA ✅ ➡️BIMA ✅ ➡️NO TMS DEPT ❎ Location; Sumbawanga
  13. G

    Car4Sale Fuso inauzwa Dar, Shekilango

    Engine na kila kitu viko safi sana. Napatikana kupitia hii # 0752725614
  14. Replica

    Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  15. Elli

    Ndani ya siku 30, Fuso zimehusika kwenye ajali tatu

    Nilikua natafakari hapa. Sijajua kama haya malori (Fuso) ndio yenye shida au Kuna tatizo lingine. Yaani ajali tatu ambazo zimeripotiwa kwa kipindi kisichozidi siku 3, Fuso zimehusika. Ya kwanza ni Ile ya Mkata iliyohusisha Fuso na Coaster iliyokua imebeba mashabiki wa Yanga. Ya pili...
  16. JanguKamaJangu

    Gari kubwa (Fuso) latumbukia kwenye maji baada ya kudondoka kutoka kwenye Kivuko, Julai 18, 2022

    Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera. Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa "Chanzo...
  17. Bexb

    Car4Sale Fuso Tipa zinauzwa

    Habari wakuu, gari hizi mbili zinauzwa . Make: Mitsubishi fuso Body: Tipa Location: Dar Engine: zote mbili zina engine ya 6D17 Bei: hiyo ya njano ni 60M Hiyo ya Blue namba DM ni 75M. Gari zote hazina shida yoyote ya kiufundi na zipo tayari kwa kazi. Ukitaka kuziona na kukagua nicheki...
  18. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  19. Bexb

    Car4Sale Fuso Tandam inauzwa

    Habari ya jioni wakuu. Ninaileta kwenu hii gari ya kazi Make: Mitsubishi Fuso Engine:16D Location: Dar Bei: 47M kwa mwenyewe NB: Gari ina turbo full miluzi na nguvu. Ukitaka kukagua 0755963775 calls/WhatsApp
Back
Top Bottom