Tofauti ya Simba na Yanga kuelekea mechi zao za robo fainali

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,315
12,614
Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi za robo, nusu na finali za caf champions, lakini bahati mbaya Benchikha hataingia uwanjani kuzuia Simba isifungwe wala kuifanya simba kufunga magoli. Ukiwasikia mashabiki wa simba wengi wao hawasifii wachezaji wao tegemeo bali wanamsifia kocha Benchikha kuwa anajua kuzicheza hizi mechi. Wanasimba wana imani kubwa kuwa timu yao ni dhaifu lakini Al-Ahly nayo sasa hivi ni unga (dhaifu). Hii ni tofauti kabisa na wenzao Yanga.

Yanga mara zote kuelekea mechi yao na Mamelodi huwa wanasifia na kutegemea ubora wa wachezaji wao zaidi kuliko kocha wao gamondi. Ni rahisi kuwasikia mashabiki wa yanga kuelekea mechi yao na Mamelodi wakiwasifia sana wachezaji wao akina Pacome, yao, Aucho, Aziz, Mudathir, Nzengeli, Musonda, Mzize na wengine kuliko ubora na uzoefu wa Gamondi. Yanga wanaamini kuwa Mamelodi ni timu imara na tajiri lakini wachezaji wao wana uwezo wa kuifunga Mamelodi.

Wanamwamini zaidi mwalimu wao na wale wanawaamini zaidi wachezaji wao. wacha tusubiri.

Tofauti Yao nyingine ni Simba kuwaamisha wafuasi wao kuwa kulipiwa viingolio kuona mechi live bila malipo ni vibaya sana na Yanga wanawaaminisha wafuasi wao kuingia bila malipo kutawqfanya waende wengi uwanjani usiku na kushangilia timu yao..

Hapo ukweli ni upi? Je mashabiki wa Simba ni kweli hawataki kusaidiwa au viongozi wa Simba wanawasemea tu? Je, ni kweli Yanga kuondoa viingolio kwa mashabiki wao wa mzunguuko kunashusha thamani Yao? Kweli wako watanzani wasiopenda msaada?

Mwisho wa juma sio mbali, panapo majaliwa simba, yanga na Tanzania tutapata darsa jipya kuhusu namna ya kuutazama, kuucheza, kuuchambua na kuushabikia mchezo wa mpira nchini.
 
Tumefikia huku ndugu zangu? Sasa tunaona makocha si lolote si chochote? Yanga bwana!
 
Hizi ni Ramli, Kwa sasa hali ilipofikia ramli hazisaidii...!

Kila mmoja na abebe Msalaba Wake...!

Mmoja Msalaba wake ni kumkabili Klabu no.1 CAF club ranking

Na Mwingine ni kumkabili klabu no.4 CAF club ranking.

Tuache ramli....hakuna timu Unga wala mchele mchele hatua hizi.
Unadhani n kwanini Simba walishangilia mno kupangwa na Al-ahly? unadhani ni kwanini mechi ya Yanga inachambuliwa sana? Hatuongei ushabiki
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
images (1)-1.jpeg
 
Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi za robo, nusu na finali za caf champions, lakini bahati mbaya Benchikha hataingia uwanjani kuzuia Simba isifungwe wala kuifanya simba kufunga magoli. Ukiwasikia mashabiki wa simba wengi wao hawasifii wachezaji wao tegemeo bali wanamsifia kocha Benchikha kuwa anajua kuzicheza hizi mechi. Wanasimba wana imani kubwa kuwa timu yao ni dhaifu lakini Al-Ahly nayo sasa hivi ni unga (dhaifu). Hii ni tofauti kabisa na wenzao Yanga.

Yanga mara zote kuelekea mechi yao na Mamelodi huwa wanasifia na kutegemea ubora wa wachezaji wao zaidi kuliko kocha wao gamondi. Ni rahisi kuwasikia mashabiki wa yanga kuelekea mechi yao na Mamelodi wakiwasifia sana wachezaji wao akina Pacome, yao, Aucho, Aziz, Mudathir, Nzengeli, Musonda, Mzize na wengine kuliko ubora na uzoefu wa Gamondi. Yanga wanaamini kuwa Mamelodi ni timu imara na tajiri lakini wachezaji wao wana uwezo wa kuifunga Mamelodi.

Mwisho wa juma sio mbali, panapo majaliwa simba, yanga na Tanzania tutapata darsa jipya kuhusu namna ya kuutazama, kuucheza, kuuchambua na kuushabikia mchezo wa mpira nchini.
Kelele na ramli za nini mpira unachezwa uwanjani kila mtu ashinde mechi zake.
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
wewe ndiye umekata tamaa, mpira ni dressing code ya dunia nzima, watu wana bet, wanachambua, wanaangalia mpira na wanashangilia mpira. ukijiona kuwa wewe ni tofauti na wale basi ujue umechanganyikiwa vibaya sana.
 
Yanga haina cha kupoteza hata isipofika nusu na finali kwakuwa uwezo na uzoefu wa mamelodi kwenye caf champions unafahamika na mamelodi ndio bingwa wa AFL. Yaani mamelodi kuifunga Yanga haitakuwa story ila Yanga ikiifunga mamelodi itakuwa a big story.
Kwanini Simba hampendi kuongelea mechi yenu mnaiongelea Yanga tu na mamaledi?
 
Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi za robo, nusu na finali za caf champions, lakini bahati mbaya Benchikha hataingia uwanjani kuzuia Simba isifungwe wala kuifanya simba kufunga magoli. Ukiwasikia mashabiki wa simba wengi wao hawasifii wachezaji wao tegemeo bali wanamsifia kocha Benchikha kuwa anajua kuzicheza hizi mechi. Wanasimba wana imani kubwa kuwa timu yao ni dhaifu lakini Al-Ahly nayo sasa hivi ni unga (dhaifu). Hii ni tofauti kabisa na wenzao Yanga.

Yanga mara zote kuelekea mechi yao na Mamelodi huwa wanasifia na kutegemea ubora wa wachezaji wao zaidi kuliko kocha wao gamondi. Ni rahisi kuwasikia mashabiki wa yanga kuelekea mechi yao na Mamelodi wakiwasifia sana wachezaji wao akina Pacome, yao, Aucho, Aziz, Mudathir, Nzengeli, Musonda, Mzize na wengine kuliko ubora na uzoefu wa Gamondi. Yanga wanaamini kuwa Mamelodi ni timu imara na tajiri lakini wachezaji wao wana uwezo wa kuifunga Mamelodi.

Wanamwamini zaidi mwalimu wao na wale wanawaamini zaidi wachezaji wao. wacha tusubiri.

Tofauti Yao nyingine ni Simba kuwaamisha wafuasi wao kuwa kulipiwa viingolio kuona mechi live bila malipo ni vibaya sana na Yanga wanawaaminisha wafuasi wao kuingia bila malipo kutawqfanya waende wengi uwanjani usiku na kushangilia timu yao..

Hapo ukweli ni upi? Je mashabiki wa Simba ni kweli hawataki kusaidiwa au viongozi wa Simba wanawasemea tu? Je, ni kweli Yanga kuondoa viingolio kwa mashabiki wao wa mzunguuko kunashusha thamani Yao? Kweli wako watanzani wasiopenda msaada?

Mwisho wa juma sio mbali, panapo majaliwa simba, yanga na Tanzania tutapata darsa jipya kuhusu namna ya kuutazama, kuucheza, kuuchambua na kuushabikia mchezo wa mpira nchini.
Mimi kama shabiki wa Yanga nimerelax sana, binafsi naona Yanga haina cha kupoteza nadhani hata mashabiki wengine hawana presha kubwa. Timu inajaribu kuvunja rekodi ya kuingia nusu fainali. Mimi nikiulizwa nani atasonga mbele Simba au Yanga, nitajibu Simba. Sababu ni Moja tu Simba nadhani wamechoka kufungwa na Al Ahly watapambana sana na huenda watatoboa.
 
Back
Top Bottom