Ahmed Ally aliumizwa sana na matokeo ya CR BELOUIZDAD kwa Mkapa

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,317
12,615
Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri.

Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile.

Ahmed Ally ni mwanahabari mkubwa aache kugeuka mtoto eti kwasababu ya usemaji tu wa simba. Kwakutumia weledi wake kwenye habari na michezo aisaidie simba kuwa sawa kwenye uongozi na usajili wa wachezaji na benchi la ufundi badala ya kulazimika kupayuka kwa lengo la kuwapatia wanasimba raha bandia dhidi ya Yanga.

Akubali tu kuwa Yanga kwasasa iko juu kwenye kila kitu (uongozi, ufundi, wachezaji na mabadiliko ya timu)
 
Wanahamisha magoli kila kukicha.. Mara majini, mara CRB walichezesha vijana, mara hiki mara kile, wakati ishu ni uwezo mkubwa wa Yanga
 
Aah ndo Kasema hivyo...

Ila kapiga Kwenye mfupa....

Maana naona Utopolo Wote Wanaungana kumjibu Ahmed Ally Mmoja...!
 
Aah ndo Kasema hivyo...

Ila kapiga Kwenye mfupa....

Maana naona Utopolo Wote Wanaungana kumjibu Ahmed Ally Mmoja...!
Ahmed bado hajakaa vizuri baada ya ile 5-1. anahitaji mshauri mbobezi akae nae kumweka sawa. Anaropaka senselessly.
 
Ahmed huwa namuona kama akili zake haziko sawa, hana utimamu wa akili.
Jitihada zake hazilkingani na mavuno anayoyapata. Ameibeba Simba kwenye mgongo wake kama nyangumi kwenye maji ya kina kirefu. Alivyomnadi Benchika ni tofauti na anachokiona kwenye timu yake. Kuna wakati anaona ni heri ya Robertihno na baleke.
 
Simba kitu ambacho wanachoshindwa kukili kwa ulimi wao ni kwamba kwa sasa hivi Young Africans imeshawazidi uwezo ila wao kupitia kwa viongozi wao wanashindwa kulikubali hil suala, matokeo yake wanaleta siasa za mpira ambazo haziwezi kuwasaidia, ktk maisha yetu ya kila siku ili uweze kumshinda mshindani wako lazima kwanza umuheshimu na ukubali madhaifu yako, ukishayakubali madhaifu yako utaanza kutafuta namna ya kurekebisha madhaifu uliyonayo lkn hawa Simba Sports Club kwenye hili wamefeli, kwa namna Young Africans sasa hivi wanapoiendesha timu yao kwa namna moja ama nyingine tayari wapo katika njia ya mafanikio, katika maisha yetu ya kila siku hatuwezi kuyafikia malengo tuliyojiwekea kama hatuna mpango mkakati. Leo Simba Sports Club wanasema moja ya malengo yao ni kufika nusu fainali CAF CL, lakini ukigeukia kwenye mpango mkakati wao huwezi kuona kama kuna dalili yoyote ya kuweza kufika semi final ya CAF CL isipokuwa wamezungukwa na watu wa propaganda na Siasa za mpira ambazo haziwezi kuwafikisha popote pale. Wakati Young Africans wanamchagua Eng. Hersi kuwa kiongozi wao kuna wapuuzi walidiriki kusema Yanga imepata viongozi wahuni na itaendeshwa kihuni huu ndio ulikuwa mtazamo wao watu wenye mawazo yasiyo na mbolea yaliyobebwa na propaganda sidhani kama wanaweza kuwa msaada katika maendeleo ya mpira wetu, leo hii Young Africa ina wajibu kwa vitendo wamebaki na aibu pumbavu zao, VIVA YANGA LA AFRICA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Ahmed huwa namuona kama akili zake haziko sawa, hana utimamu wa akili.
Ni sahihi, akili haijatimia pia yule jamaa ni Yanga damu na mara nyingi kauli na comments zake ni za kuibeza Simba. Anajifanyisha na anaonelana dhahiri asemacho hakitoki moyoni ila ni mdomoni tu. Anawadhihaki simba huyo jamaa.
 
Aah ndo Kasema hivyo...

Ila kapiga Kwenye mfupa....

Maana naona Utopolo Wote Wanaungana kumjibu Ahmed Ally Mmoja...!
Yanga ndio inaifundisha Simba nini cha kufanya. Simba imeleta kocha mwarabu (benchika) baada ya Yanga kuleta Nabi na kuifikisha timu finali ya caf confed. na Gamondi aliyefundisha timu za waarabu. Yanga inaifundisha Simba kufanya proper transformation, yanga inaifundisha simba usajili wa wanachama na mashabiki, Yanga inaifundisha Simba namna ya kuendesha mitandao ya timu kupata fedha.
 
Wapo wachambuzi wanawakosea sana Wadau Wa Soka....!

Kuwaita Yanga Miamba ya Soka ... Ni ukosefu Wa Adabu... Kashadundwa na Al ahly.
 
Wapo wachambuzi wanawakosea sana Wadau Wa Soka....!

Kuwaita Yanga Miamba ya Soka ... Ni ukosefu Wa Adabu... Kashadundwa na Al ahly.
sIJUI kama uliitizama ile mechi vizuri. Al-Ahly walikuwa wanaomba mechi iishe. Umakini ulikosekana Al-Ahly ilikuwa watiwe magoli matatu ya wazi. Ongopa sana timu inayotengeneza nafasi hata kama haizitumii.
 
Back
Top Bottom