Search results

  1. music mimi

    Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni " Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa" "Nikitaka...
  2. music mimi

    Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  3. music mimi

    Chanel inayoonesha final UEFA champion league

    Wakuu kuna channel yoyote nje ya supersport naweza tazama final ya UEFA?? nna kifurushi cha 23k nimekwama haswa.
  4. music mimi

    Namna gani naweza kuomba pesa za Corporate Social Responsibility kwenye makampuni?

    Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
  5. music mimi

    Ni recruitment portal ipi unayoikubali na kuiamini?

    Watu wengi najua wanafahamu zaidi recruitment portal ya serikali yani ajira portal. Lakini zipo portal nyingi tu ajira za watu tofauti tofauti. Mimi binafsi nawakubali cvpeople walishanipa interview tatu tofauti na moja ikawa nimepata ajira. Zamani nilikuwa nawaelewa empower pia ila baadae...
  6. music mimi

    Nina mil 12. Je, inatosha mimi kuhamia Marekani au Canada?

    Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada. Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second. Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
  7. music mimi

    Kwa wanaojua muziki Tu. Nitengenezee playlist ya afro beats za kishua

    Nitengenezee playlist yenye nyimbo 10 dizain ya Sete, sautisol, nviiri, chike, simi nk nadhani mmenielewa wajuzi wa muziki
  8. music mimi

    Ni kitu gani ulijifunza utotoni baadaye ukagundua ulipotoshwa na wazazi/walezi?

    Ebu shea na sisi pengine wale wanaorithi kila kitu toka kwa wazazi watakiepuka kwenye malezi ya watoto zao. Mimi nilikuwa nakatazwa sana kucheza kwenye majumba ya majirani. Wazazi wangu muda wote walitaka wanione nyumbani tena nikiwa mtulivu. Niliamini kutembea kwenye nyumba za jirani ni...
  9. music mimi

    Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
  10. music mimi

    Yanga bado tunamuhitaji Fei Toto

    Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa. Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto. Kwanza anaelewana vizuri na Mayele. Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha...
  11. music mimi

    Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

    Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri. Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
  12. music mimi

    Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  13. music mimi

    Wadada nisaidieni kurasa nitakazopata urembo maridadi

    Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada. Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha...
  14. music mimi

    Msaada: Jinsi gani naweza update iPhone 8G iwe na IOS 16?

    Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update. Nachotaka kujua, Process ya updating inatumia GB ngapi? Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public? Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
  15. music mimi

    Kwanini Hayati Magufuli hapoi?

    Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli? Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa. Of course kuna upande...
  16. music mimi

    Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  17. music mimi

    Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

    Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu. Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5. Pia wanasema kuna njia za asili...
  18. music mimi

    Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

    Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu. Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate. Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu...
  19. music mimi

    Naomba ushauri kwa ajili ya huyu binti anaetaka kusoma Diploma

    Amemaliza kidato cha 4. Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Alisoma arts ana ufaulu wa division 3. Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu. Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini. Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi...
  20. music mimi

    Natafuta ramani nzuri ya kizungu

    Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Back
Top Bottom