music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 441
- 758
Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani.
Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli.
Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums.
Nakuwekea link hapa ukajionee mwenyewe.
Kama masharti ya maridhiano ni kuiponda serikali ya awamu ya 5 basi Mbowe na Chadema wajitafakali. Ushawishi wenu utazidi kuporomoka.
Hamshindani na team Magufuli mnashindana na umma. Sijawai kuona mtu kafaulu kwa kushindana na umma.
Ni mtazamo tu.