ramani

 1. F

  Nahitaji ramani ya Tanzania ya mikoa na Wilaya

  Habari wakuu, Wapi naeza pata ramani, mimi nipo kwenye International NGO nina mahitaji sana na hard copies za Ramani.
 2. Khan

  Karibu uanze mwaka 2020 kwa kujipatia ramani na michoro bora kabisa ya Ujenzi wako

  Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada. Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural...
 3. Offshore Seamen

  Ziwa Victoria, Nyasa na Tanganyika yafanyiwe Hydrographic Survey na kutengenezewa ramani (Navigation Charts)

  Kwanza nitoe pongezi kwa serikali kwa ujenzi wa meli katika Ziwa Nyasa na Ziwa Victoria na marekebisho ya meli zilizokuwepo. Kwa kipindi kirefu ramani (Navigation Chart) ambazo zimekuwa zikitumika Ziwa Nyasa ni za zamani sana, hivyo inapaswa hydrophic survey ifanyike na zitengenezwe ramani...
 4. S

  Majengo ya ofisi za mizani ya kupimia uzito wa magari(Weigh Bridge), yawe ya rangi moja nchi nzima na ikiwezekana hata ramani ya majengo iwe ni moja

  Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
 5. No retreat no surrender

  Natafuta Ramani ya nyumba ya ghorofa 3

  Nina eneo katika makazi yangu nimelitenga kujenga nyumba ya ghorofa 3. Chini (basement) frame za biashara, floor ya kwanza ni kwa ajili ya bar & restaurant yenye counter ya bar, jiko, na vyoo. Floor ya pili ni ukumbi wa mkutano/semina/ibada/ Harusi n.k. yaani ni multipurpose kwa shughuli aina...
 6. nyumbanafuuu

  Jenga Nyumba Vyumba 3 Zinazotumia BATI CHACHE (~60) na TOFALI Chache (~2000)

  Je, unahitaji kufanikisha ujenzi wa nyumba yako kwa kutumia Bati na Tofali Chache, haraka na uhamie? Tumeandaa design za nyumba za vyumba 3 ambazo zinatumia bati ~2000 na bati ~60 lengo ni kwa yule anayehitaji ujenzi wa vifaa vichache uweze nufaika waweza jenga popote Africa, A. Mashariki, Mkoa...
 7. Obhusegwe

  EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

  Hello there wana-JF! Mimi ni mgeni katika forum hii, but i can see you are doing fine helping each other! Thats cool brothers, Keep it up!!! Naishi hapahapa Dar, na nina plan ya kuanza ujenzi wa nyumba kwa ajili ya familia yangu, sasa nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua sehemu...
Top