Naomba ushauri kwa ajili ya huyu binti anaetaka kusoma Diploma

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Amemaliza kidato cha 4.

Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti.

Alisoma arts ana ufaulu wa division 3.

Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu.

Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini.

Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi itayomfaa kwa chuo chochote ngazi ya diploma.

Nisaidieni ushauri maana mimi sielewi vizuri kozi nzuri itayomfaa.

NB: ni yatima amepata mtu wa kumfadhili.
 
Ok.yeye anapenda nini?
 
Akasome ualim ndio kozi bora zaidi kwa art pure. Aache kupindishapindisha mambo kozi zingine ni ujiko tu afu ni matatizo badae.
 
Amemaliza kidato cha 4.

Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti.

Alisoma arts ana ufaulu wa division 3.

Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu.

Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini.

Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi itayomfaa kwa chuo chochote ngazi ya diploma.

Nisaidieni ushauri maana mimi sielewi vizuri kozi nzuri itayomfaa.

NB: ni yatima amepata mtu wa kumfadhili.
Akasome mojawapo ya hizi fields

1. Law
2. Accountancy.

Hizo ni field nzuri maana akimaliza anaweza jisajili kama advocate au CPA.

NB: Ajira sasa hakuna maana hata walimu wanasoma namba mtaani.
 
Si rahisi mwana Art mwenye division three kua amefaulu hesabu, ndo maana nimeshaur ualimu tu maana hiyo Accountacy ishamkataa mpka hapo
 
Back
Top Bottom