saruji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Serikali Tanzania yawapa wazalishaji wa saruji siku nane kushusha bei

    Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo. Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited - Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, hatuna mikataba, bima wala likizo

    Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6. Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anthony Mtaka: Una Miaka 59 unatukana Serikali saruji imepanda sana, wakati inauzwa Tsh. 4,000 ulikuwa wapi kujenga?

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao wanakaribia kustaafu. Wakianza ujenzi wanatukana bei za saruji kupanda hali ambayo wakati wanaanza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania FCC yajadiliana na wazalishaji wa Saruji katika kutatua changamoto kwa walaji

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC,Khadija Ngasongwa akizungumza na wadau wa Wazalishaji wa Ndani wa Saruji wakati walipokutana kujadiliana kuhusiana hali ya Soko ya bidhaa hiyo jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC,Khadija Ngasongwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na ofisi...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania JKT Cement Industry: Natamani kuona wanapewa mgodi wa kuchakata Saruji

    Habari Tanzania ! Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee Saruji safi na bora, bei nafuu na yenye uwezo mzuri na iitwe (JKT Cement) . Jeshi la Kujenga Taifa...
  6. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa uuzaji wa jumla na rejareja wa Saruji

    Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya biashara wa kawaida mpaka kuwa wakala, faida, changamoto zake zipoje, taratibu za upatikanaji wa bidhaa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji wakati wa...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nijuze Chimbo la saruji na nondo

    Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents. Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300 Nondo 10mm kwa tani Nondo 12mm kwa tani Nondo 16mm kwa tani
  10. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 YA SARUJI UKARABATI WA SHULE

    NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 UKARABATI WA SHULE 25 Julai 2024 Na Mwandishi Wetu,Moshi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)mkoani Kilimanjaro limetoa msaada wa mifuko 50 ya simenti yenye thamani ya Tshs. 1,000,000/= kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Sekondari J.K Nyerere...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko ya Saruji 20 (400,000) Ujenzi Ofisi za UWT Kata

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya Ziara ya Kata kwa Kata huku akipokelewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Harungu iliyopo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe. Akiwa katika Kata ya Harungu, Mhe. Juliana Daniel Shonza amekabidhi mifuko ya Saruji 20 yenye...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Kataryo Chaongeza Kasi ya Ujenzi wa Zahanati Yake: Mbunge Prof. Muhongo Achangia Saruji Mifuko 200

    KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200 Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka. Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji chaamua kujenga Zahanati, Mbunge Prof. Muhongo achangia mifuko 200 ya saruji

    Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji. Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni: (i) kupokea kero za wananchi na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita Akabidhi Ambulance Hospitali Ya Wilaya Ya Kiteto na mifuko 900 ya saruji katika kata za Jimbo la Kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe. Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabalozi wa Afrika wakabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa waathirika wa mafuriko ya Hanang

    Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara. Akikabidhi msaada huo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid akerwa kukuta mifuko ya saruji imeganda

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Majidi Mwanga amekerwa kwa kutelekezwa mradi wa kutengeneza tanki la maji lenye ujazo wa lita milioni moja ambapo saruji ilinunuliwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huo ilihifadhiwa vibaya na hatimaye kukutwa imeganda. Majidi amefanya ziara ya kutembelea...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achangia saruji ujenzi wa madarasa Chalinze, akagua miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo. Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro akabidhi Mifuko ya Saruji 50 Ujenzi Ofisi za CCM Tawi la Mahenge

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Saruji 600 Yatolewa na Mbunge Edward Lekaita

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoa wa Manyara Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko ya Saruji 600 kwaajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ndani ya Kiteto. ✅ Kata ya Kiperesa amekabidhi Mifuko ya Saruji 35 ✅ Mifuko ya Saruji 50 Shule ya Msingi Makuta ✅ Kata ya Njoro amekabidhi Mifuko ya Saruji...
Back
Top Bottom