Kijiji chaamua kujenga Zahanati, Mbunge Prof. Muhongo achangia mifuko 200 ya saruji

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
944

WhatsApp Image 2024-03-15 at 12.35.25.jpeg

Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji.

Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni:

(i) kupokea kero za wananchi na kuzitatua. Hili lengo lilitekelezwa na wananchi wameridhika sana.

(ii) Kuvunja makundi yanayokwamisha uchangiaji wa miradi ya maendeleo kwenye kijiji hicho.

Lengo hili lilitekelezwa kwa mafanikio makubwa, na viongozi wa miaka ya nyuma wa serikali ya kijiji hicho, akiwemo wa CHADEMA, walikubali kutupilia mbali tofauti zao na kuanza ukurasa mpya wa kushirikiana kwa faida ya ustawi wa jamii yao, na

(iii) kupiga Harambee ya ujenzi wa zahanati ya kijiji chao.

Matokeo ya Harambee ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kaburabura

(i) Mchango ya Tsh 5,000 (elfu tano) kutoka kila kaya, huu ukiwa mchango wa awali, na uwe umetolewa ifikapo tarehe 30.3.2024

(ii) Mchango wa Wazaliwa wa Kijiji cha Kaburabura. Wameanza kwa kuchangia Tsh 1,300,000 (Tsh 1.3m)

(iiia) Tsh 255,000 (taslimu), Tsh 3,050,000 (ahadi), Saruji Mifuko 51 (ahadi) na bati moja (ahadi)

(iiib) Mbunge wa Jimbo, Prof Sospeter Muhongo atachangia Saruji Mifuko 200, huu ukiwa ni mchango wake wa awali.

(iv) Kamati ya ujenzi iliundwa chini ya uongozi wa Ndugu Kuboja Mlingai

WhatsApp Image 2024-03-15 at 12.35.26.jpeg

Mbunge wa Jimbo agawa Vitabu Viwili vinavyoelezea Mafanikio yanayopatikana Jimboni mwao kutoka kwenye Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini ameanza kuchapisha na kusambaza vitabu vinavyoelezea mafanikio yanayopatikana kwenye utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020-2025.

Vitabu viwili vya vya rangi vimechapishwa na vinagawiwa bure kwa viongozi wa CCM wa ngazi zote, na kwa wananchi wa Musoma Vijijini.

WhatsApp Image 2024-03-15 at 12.35.26(1).jpeg

Simu ya kuandikisha wanachama wa CCM
Mbunge huyo amenunua simu kumi (10) za kutumiwa kwenye uandikishaji wa wanachama wa CCM. Kata ya Bugoji imepewa simu moja.

Simu moja (1) amenunuliwa Mfanyakazi wa Ofisi ya CCM Wilaya

Akaunti ya Kijiji cha Kaburabura
Wananchi wa Kijiji cha Kaburabura wanaomba tuwashike mkono kwenye ujenzi wa Zahanati ya Kijiji chao.

Tafadhali tuma mchango wako kwenye Akaunti ya Kijiji hicho:

Benki: NMB
Akaunti Na: 30302300684
Jina: Kijiji cha Kaburabura

Picha za hapa zinaonesha:
Matukio mbalimbali ya Mkutano wa jana wa Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini na Wananchi wa Kijiji cha Kaburabura, Kata ya Bugoji, Musoma Vijijini.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Ijumaa, 15.3.2024

WhatsApp Image 2024-03-15 at 12.35.25(1).jpeg
 
Hizo hela zake ama za jimbo na kama zake hela za jimbo zinafanya kaz gani?
Hela ya mfuko wa Jimbo ni kuduchu kulingana na mahitaji, ndiyo maana wahisani wanahitajika kusaidia kubeba mzigo.

Ila pia siyo Mbaya Mbunge mwenyewe mzawa wa hapo kutoa sadaka ya kujenga nyumbani maendeleo

Ova!
 
Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji.

Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni:

(i) kupokea kero za wananchi na kuzitatua. Hili lengo lilitekelezwa na wananchi wameridhika sana.

(ii) Kuvunja makundi yanayokwamisha uchangiaji wa miradi ya maendeleo kwenye kijiji hicho.

Lengo hili lilitekelezwa kwa mafanikio makubwa, na viongozi wa miaka ya nyuma wa serikali ya kijiji hicho, akiwemo wa CHADEMA, walikubali kutupilia mbali tofauti zao na kuanza ukurasa mpya wa kushirikiana kwa faida ya ustawi wa jamii yao, na

(iii) kupiga Harambee ya ujenzi wa zahanati ya kijiji chao.

Matokeo ya Harambee ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kaburabura

(i) Mchango ya Tsh 5,000 (elfu tano) kutoka kila kaya, huu ukiwa mchango wa awali, na uwe umetolewa ifikapo tarehe 30.3.2024

(ii) Mchango wa Wazaliwa wa Kijiji cha Kaburabura. Wameanza kwa kuchangia Tsh 1,300,000 (Tsh 1.3m)

(iiia) Tsh 255,000 (taslimu), Tsh 3,050,000 (ahadi), Saruji Mifuko 51 (ahadi) na bati moja (ahadi)

(iiib) Mbunge wa Jimbo, Prof Sospeter Muhongo atachangia Saruji Mifuko 200, huu ukiwa ni mchango wake wa awali.

(iv) Kamati ya ujenzi iliundwa chini ya uongozi wa Ndugu Kuboja Mlingai

Mbunge wa Jimbo agawa Vitabu Viwili vinavyoelezea Mafanikio yanayopatikana Jimboni mwao kutoka kwenye Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini ameanza kuchapisha na kusambaza vitabu vinavyoelezea mafanikio yanayopatikana kwenye utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020-2025.

Vitabu viwili vya vya rangi vimechapishwa na vinagawiwa bure kwa viongozi wa CCM wa ngazi zote, na kwa wananchi wa Musoma Vijijini.

Simu ya kuandikisha wanachama wa CCM
Mbunge huyo amenunua simu kumi (10) za kutumiwa kwenye uandikishaji wa wanachama wa CCM. Kata ya Bugoji imepewa simu moja.

Simu moja (1) amenunuliwa Mfanyakazi wa Ofisi ya CCM Wilaya

Akaunti ya Kijiji cha Kaburabura
Wananchi wa Kijiji cha Kaburabura wanaomba tuwashike mkono kwenye ujenzi wa Zahanati ya Kijiji chao.

Tafadhali tuma mchango wako kwenye Akaunti ya Kijiji hicho:

Benki: NMB
Akaunti Na: 30302300684
Jina: Kijiji cha Kaburabura

Picha za hapa zinaonesha:
Matukio mbalimbali ya Mkutano wa jana wa Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini na Wananchi wa Kijiji cha Kaburabura, Kata ya Bugoji, Musoma Vijijini.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Ijumaa, 15.3.2024

kazi ya maendeleo inaanzia pale chini kwa mwanainchi 🐒

well done wananchi,
well done comrade Prof Muhongo keep it up...🐒
 
Kampeni hizi za ubunge wanazianza mapema sana hawa waeshimiwa.
 
Back
Top Bottom