Mbunge Juliana Masaburi atimiza ahadi yake ya ujenzi wa Zahanati Serengeti

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

MHE. JULIANA MASABURI AMALIZA AHADI YAKE YA KUTOA CEMENT KATIKA KITONGOJI CHA NYAMERAMA

🗓️ 14 DECEMBER 2023
📍Serengeti, Mara

📸 picha na Matukio Mbalimbali Ndugu Edmund Atanas Changwe Akikabidhi Cement kwa Viongozi wa Kitongoji cha Nyamerama kwa niaba ya Mh Mbunge Juliana Didas Masaburi

Ndugu Edmund Atanas Changwe Katibu wa Mbunge Juliana Didas Masaburi Amemuwakulisha Mhe. Mbunge Juliana Kukamilisha Ahadi yake Alioitoa katika ziara yake Alioifanya wilaya ya Serengeti kwa Wananchi Wa Kitongoji cha Nyamerama kata ya Geitasamo Kuwawezesha Cement 40 Kwaajili ya Ujenzi wa Zahanati ya Kitongoji cha Nyamerama Alitanguliza kwa kuwapa Mifuko ya Cement 20 na Leo kakamilisha kwa kuwapa Mifuko ya Cement 20.

Viongozi wa Kata ya Geitasamo na Kitongoji cha Nyamerama * baada ya kupokea Cement hizo wamemshukuru Mh Mbunge Juliana kwa Kutekeleza Ahadi yake Yote ya Kuwawezesha Cement Mifuko 40 kwaajili ya Ujenzi wa Zahanati Yao ya Kitongoji Na Kumuomba Mh Mbunge Juliana Masaburi Kuendelea kuwa na Moyo huo huo wa Kuendelea kutoa sapoti kwa wenye uhitaji wa Kutekeleza Miradi ya Maendeleo

IMETOLEWA NA OFISI YA MBUNGE WA VIJANA TAIFA

WhatsApp Image 2023-12-14 at 17.42.44.jpeg
WhatsApp Image 2023-12-14 at 17.42.32.jpeg
 
Back
Top Bottom