shule za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fintan20

    Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  2. A

    Shule za serikali za wasichana Arusha

    Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha. Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha Ahsanteni
  3. M

    Usafiri kwa wanafunzi shule za Serikali

    Serikali ifikirie juu ya usafiri kwa wanafunzi wa shule za serikali ili kutatua changamoto wanayopata wanafunzi katika miji mikubwa. Wanafunzi wamekuwa wakikaa katika vituo hadi saa tatu usiku jambo ambalo ni hatarishi kwa wanafunzi hao. Serikali itenge bajeti ya kununua mabasi ya shule...
  4. Bull Bucka

    Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  5. sky soldier

    Utafiti nilioufanya nimegundua vijana wengi waliosoma shule za bei kubwa wanachelewa sana kuoa tofauti na waliosoma shule za serikali, hii ndio sababu

    Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika. Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
  6. Los santos

    Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

    #HABARI Uamuzi wa Wizara ya Elimu nchini Misri kutangaza marufuku ya kuvaa vazi la uso (Niqab) katika shule za serikali na binafsi umezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na kushutumiwa vikali huku uamuzi huo ukitajwa kuingilia masuala binafsi. Wengi ambao hawakubaliani na marufuku hiyo...
  7. Colly 7

    SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  8. RAMAKISIMA

    SoC03 Uwazi katika utoaji huduma kwa shule za serikali

    ANDIKO LA MAONI Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
  9. blogger

    Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

    Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
  10. S

    Upigaji mpya wa fedha za wazazi jijini Arusha Kamati za Wazazi Shule za Serikali

    Salam wanabodi, Upigaji wa fedha za wazazi ni upigaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa kamati za wazazi katika shule za serikali hasa za sekondari. Karibia kila shule wazazi wamefungua account bank kwa ajili ya michango ya chakula cha watoto shuleni, mpishi, walinzi, walimu wa masomo ya...
  11. comte

    Naungana na Shigongo Mawaziri na Watumishi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
  12. Gari Moshi

    Tetesi: Walimu wamegeuza Shule za Serikali kuwa Vitega Uchumi

    Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu.Katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na pesa kila siku ambazo WALIMU uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu,je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi?. Pia kinacho...
  13. Gari Moshi

    Tetesi: Walimu wamegeuza Shule za Serikali kuwa Vitega Uchumi vyao

    Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi...
  14. Mboka man

    Ni kwanini walimu wa kujitolea wananyanyaswa mno na walimu wajiriwa hasa kwenye shule za serikali?

    Japo sio shule zote ila shule nyingi hakuna mwalimu anayedhalauliwa na kunyanyasika kama mwalimu wa kujitolea sio na walimu hata wanafunzi pia baadhi ya wanafunzi wakijua mwalimu wa kujitolea huwa wanamdharau. Tukianzia swala la malipo unakuta wazazi wanachanga buku buku kwa ajiri ya walimu wa...
  15. R

    Wanaotuambia wanachama kuzifanyia promo shule za binafsi nchini watoto wao wanasoma shule za serikali?

    Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private . Ametuambia NI vigumu...
  16. pablo5060

    Mfumo unatulazimisha kusomesha watoto shule binafsi au ni ujinga tu wa watu wachache kukwamisha shule za Serikali?

    Najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu hapa Bongo, ni kwamba system inatulazimisha tusomeshe watoto wetu shule binafsi au ni upuuzi tu wa watu wachache kuna mambo yananishangaza sana kuhusiana na hizi shule za Serikali. (1) Hivi kama tunalipa tozo kwenye simu hadi umeme serikali inachukua...
  17. R

    Hivi Kiongozi anaepeleka mtoto wake Shule ya Milioni 10 atatoa Mawazo Gani ya Maana ya kuendeleza shule za Serikali?

    Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali hasa ya kata anawezaje akawa na mipango ya maana kuhusu hizi shule?
  18. M

    Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  19. Rebeca 83

    Ushauri: Nini kifanyike Shule za Serikali zifanye vizuri

    Hello JF, Leo nimejikuta nawaza sijui kama hii serikali haioni kuwa ni haki ya kila mtoto wa ki Tanzania kupata na Elimu nzuri/bora? kwa nini baadhi ya watoto wachache wawe na a better start na wengine system iwa fail miserably? Anyway, hata nchi za nje kuna shule za private za grammar lakini...
Back
Top Bottom