A
Anonymous
Guest
Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa.
Sasa kinachotokea ni kwamba Tawi la CCM Main Campus linawahamasisha na limetoa tangazo kwamba ili mtu upewe mkopo wa Bodi ya Mikopo (HESLB) lazima uwe na kadi ya CCM.
Na kupitia kwa kiongozi wao walichapisha kwenye magroup mbalimbali kwamba Mkopo na nyongeza (kwa wale waliopewa kidogo) watanufaika wale tu wenye kadi ya CCM na Wana-CCM kwa jumla.
Pia soma
~ Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili
~ Wajumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Wanaowakilisha Vyuo na Vyuo vikuu Taifa wafanya ziara Bodi ya Mikopo (HESLB)
~ HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo
~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa