Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam.
Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester.
Sasa, mimi...
Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii.
Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2026 katika ukumbi wa CIVE Auditorium, amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO) katika hafla iliyowakutanisha viongozi wa chuo, Tume ya Uchaguzi, wagombea...
Wameanza kulia kulia na kuweka vikao kujadili silaha iliyotumika
used a powerful hypersonic Oreshnik ballistic missile in an overnight missile and drone attack on Kyiv, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Sunday.
Russia's army later confirmed it had used the missile.
The EU's top...
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
Shule nchini Uingereza zinapewa onyo la kuondoa picha za wanafunzi wao kutoka kwenye tovuti na mitandao ya kijamii kufuatia kuongezeka kwa tishio la unyang'anyi wa kimtandao (blackmail). Wataalamu wa usalama wa mtoto na Shirika la Kitaifa la Uhalifu (NCA) wanaonya kuwa wahalifu wanatumia Akili...
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania.
Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight
Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege...
Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM) kupitia Ndaki ya Sayansi za Ardhi na Uhandisi (CoESE) imeendelea kudhihirisha ubora wake kitaifa baada ya andiko lake kuingia katika miongoni mwa maandiko matatu bora kati ya 561 yaliyowasilishwa kwenye shindano la ubunifu wa kupunguza msongamano wa magari mijini...
Watoto wa shule ya msingi jijini Mbeya wamepata matatizo ya kiafya ikiwemo kuumwa tumbo na kutapika na wengine kufaliki baada ya kupewa chanjo ya vidonge kwa ajili ya minyoo na kichocho.
Miongoni mwa mwanafunzi aliyefaliki ni mwanafunzi wa kike mwenye miaka minne aliyekuwa anasoma Shule ya...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
Anonymous
Thread
elimu
kero
kulazimishwa
mbovu
serekali
shule
tamisemi
tuition
utaratibu mbovu
wanafunzi
wizara ya elimu
Hii Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana.
Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo limekuwa kama “filter” ya kuangusha watu. Wengi wanakwama hapo, hakuna msaada, hakuna majibu.
Mimi...
Anonymous
Thread
future
idara
language
literature
lugha
udom
wanafunzi
02 May 2026
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA
https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA
CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali...
Habari wadau,
Natumaini mnaendelea vizuri. Niko Morogoro, "mkoa wa vyakula vyuo na seminar", na tunaendelea vizuri. Kwa waislamu ni siku ya ibada, kwa wasabato ya maandalizi na wengine wanapanga kesha (Furahiday). Kazi iendelee...
Kipindi hiki ni cha research na presentations. Natumaini...
Tangu mwaka wa masomo ulipoanza mwezi November 2025, baadhi ya wanafunzi TUNAOTUMIA MFUMO wa ZAMANI wa chuo hicho, tumekumbana na changamoto kadhaa na hatupati msaada kokote tunakokwenda.
Kwanza kabisa, Account zetu za uanafunzi zimezuiliwa, huwezi kuiona account yako kwenye kifaa chako kama...
Anonymous (0c52)
Thread
chuo
chuoni
mfumo
mfumo wa zamani
tanzania institute of accountancy
wanafunzi
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Tulieni iliyopo Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amesema shule hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa madawati ambapo mpaka sasa shule hiyo ina madawati 169 ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi 2,500 ambao wengi wao hawana sehemu...
Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake, akiwaongoza kwa umakini jinsi ya kutamka maneno ya Kichina kwa kufuata lafudhi sahihi.
Katika...
Hii hali sasa imekuwa too much.
Serikali ingilieni kati toka mwezi wa pili mwaka huu wanafunzi wa shule ya sekondari JENISTER MHAGAMA wa kidato cha kwanza na kidato cha tatu wamekuwa wakianguka mapepo...
Leo watoto zaidi ya 100 wameanguka na hali zao ni mbaya wengine hawaoni wala kuongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.