mtaala mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ndugu wadau, Wote tunajua kwamba mtaala mpya umeanza mwaka huu 2024 kama ilivyoelezwa mara nyingi na wakuu wa wizara ya Elimu na hadi Waziri mwenyewe. Kadiri ya maelezo ni kwamba shule za sekondari zitakazoanza na mtaala mpya hasa kwa form one ni zile chache tu zenye mkondo wa amali. Shule...
  2. Benaya123

    Kwanini serikali isitenge muda wa kutosha kwa walimu kufundishwa mtaala mpya

    Naona Wizara ya Elimu kushirikiana na TAMISEMI wanaendelea kufanya maboresho kwa walimu juu ya uelewa na utekelezaji wa mtaala mpya ulioletwa. Shida yangu iko pahala, Maafisa Elimu ngazi za mikoa na wilaya wao walipitia mtaala huu kwa semina wezeshi takribani kw asiku 5, baadae wakafuata...
  3. Annie X6

    Yapo maeneo mabadiliko ya mtaala mpya ni kukurupuka kulekule alikofanya makosa Mungai

    Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga pekee atakuelewa. Awali sheria ilimtaka mwenye degree afundishe 3 to 4, diploma 1 na 2 ilikuwa bora...
  4. REJESHO HURU

    Wakurugenzi mliopo Clouds FM muda huu kuongelea mtaala mpya wa elimu aacheni danganya umma

    Kuondoa utata clouds wambieni walimu kutoka mikoa tofauti tofauti wapige sm wawambieni lini na wapi walimu walipewa mafunzo ya hii mitaala mipya, zaidi nao wanasikia na kuona kama wazazi. Pili halmashauri gani imepokea vitabu vya kujifunza na kujifunzia vya hiyo mtaala mpya. Waache siasa...
  5. benzemah

    Kidato cha Kwanza 2024 Kuanza Kusoma Mtaala Mpya

    Utekelezaji wa Mtaala mpya kuanza Januari 2024 Mnamo tarehe 02 Novemba 2023, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa(Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitoa taarifa rasmi juu ya kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu Ngazi ya Elimu ya Awali...
  6. Mto Songwe

    Naomba nijibiwe swali langu. Mtaala mpya wa elimu somo la dini

    Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
  7. Pascal Mayalla

    Live on Jambo Tanzania: Sera Mpya ya Elimu, Mtaala Mpya wa Elimu: Rais Samia apewe Maua -Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda

    Wanabodi, Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake! Wale wenye access angalieni... Ukiondoa the landmark ya Baba wa Taifa kutoa bure elimu ya msingi, na JPM...
  8. Dalton elijah

    Masomo yaongezeka mtaala mpya msingi

    Na Halima MlachaAugust 17, 2023 TAASISI ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la saba 2023. Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa elimu hiyo itakuwa ni ya miaka sita badala ya saba kama ulivyokuwa Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2016. Mtaala huo...
  9. Uhakika Bro

    Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  10. F

    SoC03 Elimu bila Lugha: Mtaala mpya haujatutoa kwenye mtumbwi wa Vibwengo

    Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya kuondokana na elimu isiyoweza kutafsirika katika uhalisia wa maisha na kazi. Lakini kama wasemavyo waswahili...
  11. Stephano Mgendanyi

    Matumizi ya Lugha ya Kingereza Kwenye Mtaala Mpya wa ELlimu Tanzania yasipuuzwe

    MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu huku akiainisha matumizi na faida ya lugha ya kingereza Kitaifa na...
  12. Stephano Mgendanyi

    Prof. Kitila Mkumbo - Achangia Mtaala Mpya wa Elimu

    MBUNGE PROF. KITILA MKUMBO - MAARIFA YAPATIKANE KWA LUGHA MBILI & LUGHA ISIWE KIKWAZO KWENYE KUPATA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema ni muhimu maarifa yapatikane kwa lugha ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Saashisha Mafuwe Asisitiza Mtaala Mpya Uzingatie Talanta ya Mwanafunzi

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE ASISITIZA MTAALA WA ELIMU UZINGATIE TALANTA YA MWANAFUNZI Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Elimu Mhe. Prof. Adolf Mkenda leo tarehe 16 Mei, 2023 kwa mwaka wa fedha...
  14. ChoiceVariable

    Mtaala mpya wa elimu, walimu jiandaeni kurudi shule

    Utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na mitaala ya elimu toleo la 2023 utaanza kwa awamu mwakani, huku walimu watakaofundisha shule ya msingi wakipaswa kuwa na stashahada ya ualimu. Walimu na Wadai wa Elimu endeleeni kutoa maoni ya Sera Mpya ya Elimu,mchakato unaendelea kabla...
  15. Nafaka

    Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Wizara ya Elimu kuliko kuboresha utekelezaji wa mtaala huu mbovu ni bora mngeelekeza juhudi zenu kuandaa mtaala mpya

    Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini! Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri wanashindwa kwa kukosa mitaji ikumbukwe bado Wana deni la bodi ya mikopo!!unaweza vuta picha ya hali ya...
  17. Agrey998

    Wizara ya Elimu katika marekebisho ya mtaala mpya wa elimu ya msingi Irudishe usomaji wa hadithi katika masomo ya Lugha

    Wengi wetu katika Elimu yetu ya msingi katika masomo ya lugha tulisoma hadithi mbalimbali zilizotusaidia kukuza uwezo wetu wa kusoma na kuandika kwa wakati ule, hadithi kama Juma na Uledi, punda wa Dobi, Gulio, Hawafu mwenye Nguvu zilikua maarufu sana kipindi kile na ilivutia watoto wengi...
Back
Top Bottom