Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada.
Inasikitisha kuona tatizo hili...
KIPINDI CHA RADIO KWA WANAFUNZI: VIONGOZI WA AFRIKA
Kipindi hiki akitangaza Mkurugenzi mwenyewe wa TBC Martin Kiama.
Niko Majengo Middle School, Moshi mwaka wa 1963.
Kipindi kinafunguliwa na nyimbo hiyo hapo chini.
Kipindi hiki kulikuwa cha historia.
Napenda historia na napenda hiyo...
Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi katika baadhi ya shule ili wazazi wawe na uhuru wa kuchagua wapi kijana wao patamfaa kupata taaluma...
Tunaomba kufahamu hatima ya wanafunzi waliozuiliwa kufanya Test 1 katika Chuo cha MUST, ambapo mfumo wa matokeo umeonyesha alama za ABSC. Kwa mujibu wa taarifa kutoka chuoni, wanafunzi hao watafanya mtihani huo kipindi cha SUPP mwezi Oktoba.
Changamoto kubwa ipo kwa wanafunzi wa Diploma mwaka...
Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi.
Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu.
Wanafunzi...
Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
Anonymous
Thread
barabara
daraja
dit
elimu africa
jengo
kutumia
mdogo
usalama
wanafunzi
Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini
Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania), naomba kupaza sauti kuhusu uamuzi wa chuo kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
Anonymous
Thread
kukamata
law
law school
mitihani
school
udanganyifu
wachache
wanafunzi
wote
16 Julai 2026
Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA),
S.L.P 944
Dar es Salaam.
Ndugu CPA, Dkt. Habibu J. Suluo
YAH: MAOMBI YA KUFUNGUA NA KUSAJILI NJIA MPYA YA DALADALA (MAKUMBUSHO – MAWASILIANO – UDSM – CHANGANYIKENI – GOBA NJIA NNE)
Tafadhali husika na kichwa cha...
Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa ni hitilafu ya mfumo na kwamba suala hilo linashughulikiwa, hivyo tusiwe na wasiwasi.
Hata hivyo...
Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili mbili sasa kama sasa hivi dirisha limefungwa na hakuna dalili za kufunguliwa hadi leo na wakati huo huo...
AGNES MARWA ATOA PROJECTOR, AWATAKA WANAFUNZI WA MWEMBENI KUNG'ARA KITAIFA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa, amekabidhi projector ya kufundishia pamoja na taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwembeni, akisema lengo lake ni kuunga mkono juhudi za kuboresha...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala, Kampasi ya Gongolamboto, tunaomba mamlaka husika kuchunguza usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi.
Kila mwanafunzi huchangia TSh 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya shughuli za Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, fedha hizo zimekuwa zikiwekwa na kusimamiwa...
Wadau , hili sakata ni la kusikitisha sana na limewaacha wakazi wa eneo la Suneka kule Kisii County kwa mshtuko mkubwa mno.
Polisi wamemtia mbaroni kijana mmoja anayesoma Grade 9 kwa tuhuma za kufanya unyama wa kutisha kuwabaka na kisha kuwaua wasichana wawili wadogo sana wa darasa la PP2...
MASTURBATION/PORN ADDICTION
“ DON’T DESTROY LIFE FOR 5 SEC PLEASURE. ”
SIDE EFFECTS OF MASTURBATION/PORN
× It makes you weak physically and mentally.
× Your body shape gets worse.
× You feel tired all the time.
× No confidence – You always feel low.
× You walk with your head down.
× You...
Habari za kazi.
Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) kuhusu ada kuelekea mitihani ya mwisho ya muhula wa pili wa masomo, inayotarajiwa kuanza tarehe 10/07/2026 kwa baadhi ya wanafunzi na tarehe 12/07/2026 kwa wengine.
Hadi leo, ikiwa zimebaki...
SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL – UPANGA, DAR ES SALAAM
Je, unatamani mtoto wako apate elimu bora katika mazingira salama, yenye upendo na yanayojenga msingi imara wa mafanikio?
Sprouts Pre & International School inafungua rasmi Usajili wa Wanafunzi kwa Mwaka wa Masomo 2026.
Tunapokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.