shule za sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Ipi siri nyuma ya mabinti katika shule za sekondari na msingi allegedly kuanguka na mapepo. Ni acting, afya ya akili, ishu ya saikolojia au kiroho?

    Na kwanini iwakumbe mabinti tena kwa pamoja na sio boys Sina mengine, Karibuni.
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Hili la wanafunzi wa diploma kuvaa sare kama shule za sekondari ni ushamba tu

    Hili la kuvaa sare wanafunzi wa diploma kozi za afya linashusha hadhi ya wanachuo huwezi kujiita mwanachuo huku unavaa masare kama sekondari Mbaya zaidi kuna vyuo vinaagiza wanafunzi waje na majembe na mafyekeo nashindwa kuelewa hivyo ni vyuo au sekondari zilizochangamka?
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nkasi DC: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande hawakai chini, hata hivyo tutanunua meza na viti 900 kugawa Shule za Sekondari

    Hoja ya awali ya Mdau ~ Shule ya Sekondari Kipande, Wilayani Nkasi - Rukwa haina madawati, Wanafunzi wanakaa chini Mtakumbuka tarehe 15/07/2026 mtandao wa Kijamii wa JamiiForums ulitoa taarifa kuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kipande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, ni Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada?

    Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi mahitaji ya uendeshaji na utoaji wa elimu bora, hivyo zimelazimika kutafuta njia mbadala za kuziba pengo...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya Utumishi wa Walimu itusaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies, hatujui hatma ya mikataba yetu

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Agnes Marwa atoa tuzo kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri manispaa ya Musoma

    AGNES MARWA ATOA TUZO KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOFANYA VIZURI MANISPAA YA MUSOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya kutambua na...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Agnes Marwa atoa tuzo kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri Manispaa ya Musoma

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuhamasisha ubora wa elimu mkoani humo. Katika hafla hiyo iliyofanyika ndani ya Manispaa...
  9. digba sowey

    JamiiForums Tanzania KERO Huu utaratibu wa Shule za Sekondari za kutwa kugeuzwa kuwa za Bweni (Kambi) ni kero kubwa. Serikali iko kimya hadi pale madhara makubwa yatakopotokea

    Serikali Ipige Marufuku Shule za Serikali za Kutwa Kugeuzwa Mabweni ya Kambi za Mitihani, Katika miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la shule za serikali za kutwa kugeuzwa kuwa kama shule za bweni kwa wanafunzi wa madarasa ya mitihani yaani kidato cha pili na cha nne. Mabadiliko haya...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari 355, zina waalimu chini ya 10

    Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10. Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Hii ni hatari sana kama CCM wanalazimisha watumishi wa kada ya ualimu na wanafunzi kwenda kwenye kampeni za mgombea wao hapo kesho.
  12. Livanga

    JamiiForums Tanzania Shule za Sekondari zenye magari kwa wanafunzi wa day kuwachukua asubuhi na kuwarudisha jioni

    Kwa muda nimekuwa nikitamani kupeleka wanangu Shule za Sekondari za Day ila changomoto inakuwa usafiri. Tumezoea kuona mara nyingi shule zenye utaratibu wa kichukua watoto asubuhi na kuwarudisha jioni ni Shule za msingi. Je kuna shule za Sekondari zenye utaratibu huo? Natamani kupata list kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero: utitiri wa mitihani Kwa shule za sekondari wilaya ya Busega -Simiyu unarudisha nyumba dhana ya ufundishaji na ujifunzaji,mamlaka zilitazame hili

    Mimi kama mdau wa elimu, najitokeza kupaza sauti yangu juu ya ongezeko la mitihani isiyo na mpangilio mzuri kutoka Ofisi ya Elimu ya Sekondari – Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Simiyu. Hali hii imekuwa kikwazo kikubwa kwa ufundishaji na ujifunzaji wa watoto wetu, hasa katika shule zenye...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  16. Fateema

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi walimu wakuu shule za sekondari huwaga wanapata muda wa kusoma barua zilizo tumwa kupitia S. L. P?

    Au nisipoteze muda wangu? Ushauri wenu tafadhali
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa somo la Hesabu Shule za Sekondari ni kwenye 25% nini Suluhisho?

    Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25% Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili ya kufanya utafiti kwani jibu lipo waziwazi; "MASHULENI HAKUNA WAALIMU WAKUTOSHA NA WENYE SIFA YA...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kagera: TFS yachangia madawati 90 na viti kwa shule za sekondari

    Jumla ya madawati 90 na viti vimetolewa kwa shule za sekondari na Wakala wa Uhifadhi Misitu Tanzania TFS wilayani Misenyi mkoani Kagera ili kuweza kuboresha upatikanaji wa Elimu kwa wanafunzi. Akikabidhi madawati hayo Kamishina Kamanda wa TFS Kanda ya Ziwa Ebrantino Mgiye amesema kufanya hivyo...
  19. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  20. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
Back
Top Bottom