Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.
Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili
Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama zilivyo Instagram au Facebook
Sasa kwanini uongozi usianzishe mchakato wa kupeleka Jukwaa hili kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu ya “Miaka kumi ya mafanikio kutoka maono hadi utekelezaji - A Decade of Economic Impact: From...
Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo.
Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya yamevamiwa na wafanyabiashara wasiokuwa wakulima, jambo ambalo limesababisha kwa kiasi kikubwa...
Kwa Mara ya Kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika. Mkutano huu unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 5 – 6 Agosti 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere.
Mkutano...
Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika.
mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k
Ni case study hawana namna .
kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania,
Salamu za amani na mshikamano.
1. UTANGULIZI
Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri
Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu,
Take care kiapo chake ni either ufe au afe.
Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
Habari ndugu zangu,napenda kuwaeleza kile kilichotokea Hadi kuto kupatikana hapa jukwaani.
Nilipotea hapa jukwaani kwa muda mrefu baada ya kutoa post yangu iliyo zungumzia shuhuda ya safari yangu ya kuelekea kule katavi kwa shughuli ya kilimo. Tangu wakati huo zilijitokeza changamoto nyingi...
Ndani ya Jukwaa hili Kuna watu wengi tu ambao wao kila Uzi unaoanzishwa Lazima atie neno tu haijalishi Uzi huo ni wa _
Diplomatic
Politics
Business
Relationship
Sports and game
Harakati
Utan
Uchunguzi nk
Wengine ata mawazo yao sio ya kujenga lakini lazma aoneshe kuwa alikuwepo ata kwa kuandika...
Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea?
Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi.
Tunaiomba serikali iache utaratibu huu. Kama kuna shida iwe inatatuliwa kwa mazungumzo bila kuathiri upatikanaji wake.
Wanasiasa walioko...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?
Japo sijui jf kwa sasa...
Kudorora
Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity
Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu...
Chitchat ( jukwaa la JF Chit-Chats and Jokes) linajulikana kama jukwaa huru ndani ya mtandao wa JamiiForums ambapo wanachama hupumzika na kupiga soga zisizo rasmi.
Tofauti na majukwaa ya siasa au uchumi yanayohitaji hoja nzito na utafiti, Chitchat ni sehemu ya..
Utani na Burudani: Watu huweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.