ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Powder

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wamiliki wa ma bus ya mikoani

    Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town). Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda...
  2. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  3. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake) Na muda ulipita na...
  4. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Ushauri Course ya Kusoma Masters. Kwa Mtumishi idara ya msingi.

    Wakuu habarini. Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi. Nimesoma BAED. Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha. Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT. Je, ni best option over MASTER OF EDUCATION IN ADMINISTRATION, PLANNING ANF...
  5. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Wenye wake zenu wanaoenda gym kuna ushauri wenu huku

    hakika mazoezi ni muhimu kwa afya mma hata madaktar wanatushauri lakini kuna mengi yanazungumzwa juu ya wake za watu na matrainer, tazama video kisha tuambie maoni yako...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nataka kufanya biashara ya daladala. Wazoefu naomba ushauri

    Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu. Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
  7. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

    Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo. Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia. Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu...
  8. Planett

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waandishi wa habari:-

    Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu maridhiano na kuliponya taifa la Tanzania .

    Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa . Kwa katiba tuliyonayo tunategemea sana maamuzi ya Rais aliyepo madarakani na CCM , hata mataifa ya nje hayawezi kutusaidia...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania NANE NANE ITIMIZE MALENGO YAKE, ISIISHIE KUWA GULIO — USHAURI KWA WIZARA YA KILIMO

    Wakuu, Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla. Kwanza, Nane Nane isiishie kuwa gulio kubwa la kila aina ya bidhaa, vyakula na burudani. Hayo yana...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wall Moulding

    Inabidi kuta za nyumba zipendeze mpaka ukiingia useme waoooh amejitahidi Nahitaji kufanya moulding ya ukuta. Mnitoe ushaamba ni materials yapi ni sahihi? Kuna mafundi wanatumia gypsum powder kutengeza, nasikia zinapasuka na zinaharibiwa na maji Kuna wengine wanatumia cement, hizi ni imara...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania VIDEOS;- Hekima, Nasaha, Busara, na Ushauri kutoka kwa Nelson Mandela

  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania LATRA: Rais Samia analaumiwa kwa Ukimya wenu. Mwanri hatokubali

    LATRA inafanya kazi kwa weledi, lakini haina ubunifu, in short watu wanajizungusha tu ofisini kwenye kiyoyozi na kutemblea magari ya serikali. KERO: 1. MASAKI-SIMU 2000 Haya ndio magari mabovu kuliko daladala zozote Dar es salaam . Hizi Daladala zote ni Nissan Civilian za kabla ya mwaka 2000...
  14. al1

    JamiiForums Tanzania Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
  15. jogijo

    JamiiForums Tanzania Ushauri, nisome CPA au masters ya education?

    Wakuu kwems? mimi ni mwl kwa 10 years now, (accounts and Business) nawaza ipi itanipa faida, kusoma CPA au kuongeza masters + PhD? ipi inaweza kunipa faida kwa sasa. niko government schools. natanguliza shukrani
  16. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mkataba huu wa ajira na jinsi ya kudeal na muajiri huyu

    Habari za leo wakuu? Kwa wale wataalamu wa taratibu na sheria za ajira za Tanzania naomba ushauri juu ya muajiri huyu na ni hatua zipi kama muajiriwa napaswa kuchukua kabla ya kusaini mkataba wa aina hii ?Na endapo nitasaini na stahiki zipi nastahili kupata baada ya kipindi cha mkataba huu...
  17. Nexltshahda

    JamiiForums Tanzania Ni maoni binafsi na ushauri tu

    Future na kusudi la mwanaume hupotea akishaanza kujihusisha na haya mambo… Future ya mwanaume haifi kwa ajali. Hufa kwa maamuzi madogo anayoyarudia kila siku. Siyo kila mwanaume anayepoteza mwelekeo ni kwa sababu ya ukosefu wa uwezo. Mara nyingi hupoteza kwa sababu ya tabia na maamuzi...
  18. INTROVERT MAN

    JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: Bei ya kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mnara wa Mawasiliano ya simu

    Habarini wakuu, Niko hapa kuomba ushauri . Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  20. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
Back
Top Bottom