Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba.
Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa.
Anaweza kuitisha vyombo vya habari na tunajua ukiitisha lazima uwalipe posho.Je hizo pesa anapata wapi.
Kuwa na kikundi chake cha mbwa...
Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona.
Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali.
Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k
Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia Kwa Mfano mzuri Mjasiriamali Anapata Wazo La Kuanzisha Biashara Kama Crips tu Za Kawaida Anatafuta...
Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana.
Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi.
Tusipo likemea na...
Wakuu salama,
Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini.
Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .
Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
Mwaka jana nilitangaza nia ya kutangaza urais Tanzania na nilifocus sana jamiiforum ila baadae niligundua nilifanya makosa makubwa na kuamua kukaa kimya hii ni baada ya baadhi ya watu kuniambia kwanini uko kimya na majibu yangu ni kama ya ifuatayo:-
Majority ya member hawako serious ni utani...
Kheri ya Mwaka Mpya!
1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.
2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.
3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.
4. Malumbano, mivutano na migogoro...
TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno.
Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa.
Mimi sipendi kuweka wazi ila wanayofanya kwenye ku promote huko kuna kitu sio kizuri.
Sisi wa tanganyika wanataka...
Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Updates
Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.
Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake.
Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe.
Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
Naona humu kuna watu wanapambana kudownload VPN ili waingie Jf kusapoti na kupigia debe wale walio ipiga pini, yaani wandeleze uchawa wao hata kwa VPN.
Hizi haziwezi kuwa akili zakawaida, yaani kwa normal akili ni jambo lisilo wezekana aisee.Kwamba mtu ananinyima uhuru wa kujieleza ila...
Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025
Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta.
leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli...
Miaka ya karibuni ni ukweli usiopingika JamiiForums ilianza kupoteza mvuto kwa watu kama sisi ambao tunapenda intellectual discussion tulikuwa tuna-miss sana hii mijadala
Kuna wakati mijadala hii ya muhimu tulikuwa tunaifuata twitter huku ilikosekana mbaya zaidi unakutana na yakina machawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.