ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

    Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

    Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI la wanawake: Maono na ushauri wa wazazi

    Ushauri gani ulipewa na mzazi, iwe ni baba au mama, ukaufuata na umekusaidia kufika mpaka hapo ulipo? Naanza: “Atayekulisha ni mwema, ila utampa pia uwezo wa kukulaza njaa wakati wowote atakapoamua - jishughulishe na hakikisha hauwi tegemezi”. Ushauri kutoka kwa baba yangu (Mungu amrehemu)...
  5. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Ninaomba ushauri wa uwekezaji wanaJF

    Kama nilivyowaambia awali, yule shemeji yenu Mkenya alienda nchi za Gulf kufanya kazi. Sasa imepita miezi miwili, na kila akipokea pesa huwa ananitumia Ksh 10,000 kila mwezi. Kwa haraka haraka, ni kama Tsh 200,000 za mama Kizimkazi. Pesa anazonitumia ni za kujikimu tu, lakini mimi nina pikipiki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Idara ya Makumbusho ya Taifa ihifadhi baadhi ya vitu alivyotumia JPM wakati wa uongozi wake

    Nashauri idara hii itunze vitu hivyo kama mavazi, magari vitunzwe. Hii iende hata kwa marais wengine.
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

    Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669 Turudi kwenye mada unaonaje hii design
  9. oooza

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uhamiaji irudishwe wizara ya ulinzi

    Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ. Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF. Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jitahidi kutembelea ndugu/jamaa na marafiki wenye uwezo wa Duni na wachini kabisa(masikini)

    Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala. Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha ya kila binadamu. Na kwa sababu hatuna utu basi kuna msemo usemao ndenge wanao fanana huruka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Kabla ya kuingia kwenye mapambano makali ya kudai maboresho ya Katiba na Sheria bora za Uchaguzi, nadhani CHADEMA wangefanya yafuatayo kwanza:- 1. Iandaliwe orodha ya maboresho muhimu ya Katiba na sheria yanayotakiwa kufanyiwa kazi kabla ya uchaguzi. Baada ya kuandaliwa, hiyo orodha ya...
  14. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nishaurini nichague yupi kati ya hawa. Niko njia panda

    Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi. Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem anatako sio mchezo na hicho ndicho nilichokipenda kwake. Japo sio mwanamke ambae nina future nae...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

    Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015. Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji...
  16. petro matei

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianze kuandaa Mifumo mipya ya Kodi za Magari, Pikipiki na Guta za Umeme

    Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena. Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ushauri: President Tshisekedi kuya Tanzania tuyajenge.

    Mr presidaa bounjour, Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa. Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi...
  18. Senior masai

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA USHAURI WA BIASHARA BAADA YA KIFO CHA MMILIKI

    Habari wana jf Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
  19. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wakuu ushauri wenu

    Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa kinachoniuma kwanini aliniambia? Si angekaa kimya tu asingeniambia angenificha Tu Na nahofia...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Ushauri tu: Wala msinikasirikie au kuchukulia personal

    Wale waliokuwa vijana wa Mbowe ndani ya Chadema. Sasa nadhani ni bora kurudi katika chama. Wakubali kuwa Mbowe muda wake ulishapita. Kila zama na nabii wake. Sasa wawekeze nguvu nyingi kuipambania Chadema kama Chama Mbowe hana jipya kwa sasa. Nadhani watakuwa wame recover. Nawaona bado kama...
Back
Top Bottom