ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika

    Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu kimoja chini marekani(online) vilevile akawa ameomba tena kuwekwa kwenye mpango wa masomo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha

    Habari za wakati ndugu zangu, Poleni sana na mahagaiko katika upambanaji wenu , wakuu Niende kwenye mada yangu natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha wanapatikana wapi? Maana napitia magumu sana wakati huu mbele sioni naona Giza tu sielewi Kazi Sina, elimu nimeishia la saba, mausiano...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wa Tanzania na tukio la kigaidi la September 11, 2001 (25th Anniversary)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii. ===== "As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Wakuu nimechaguliwa kusoma sheria katika SAUT Arusha center,JORDAN,CUOM,RUCU na TUMAINI MAKUMIRA. je, nikipi chuo kizuri kati ya hivyo kwa kozi ya sheria naombeni ushauri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje mafao yangu ya NSSF kama sina Certificate of Service na Kampuni niliyokuwa nafanyia kazi imefungwa?

    Habari wakuu, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na NSSF au aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani na nilikuwa nachangiwa NSSF. Kwa sasa kampuni hiyo imefungwa, hivyo siwezi kupata Certificate of Service kutoka kwa mwajiri wangu...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaotoa ushauri wa jumla jumla kwenye kila jambo, ni janga lingine linalotakiwa kukemewa haraka sana

    Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla. Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
  7. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 25+ ninamtaji wa Tah 1M niko shinyanga mjini sasa naombeni ushauri wakuu, 1: Kufugua biashara ya duka la mangi mtaani. Kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Mzunguko mtaani ni mkubwa 2: Kufungua duka sokoni (kibanda kipo hakuna Kodi) ili niwe nachanganya baadhi ya...
  8. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
  9. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  10. Uhovyoni

    JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Ushauri nimuoe huyu singo maza

    Waja naomba mnishauri kuhusu huyu singo maza Kuna singo maza nimepiga sound akajaa kwenye mfumo ni kibinti kina 23 tu Afu kananiambia nikaoe nikaweke ndani Shida anamtoto miaka 2 tu afu bado wanawasiliana na baba wa mtoto nikikaoa kataniletea shida maana nikarembo kafundi cherehani afu kana...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine akapata GPA 2.7, afanyeje kuendelea na masomo bila kurudi nyuma?

    Habari, naombeni ushauri..... Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine lakini alipata 2.7 GPA badala ya 3 amabyo inamuwezesha kuendelea na Degree yoyote katika course za afya. Kutokana na GPA yake kuwa ndogo, ameshindwa kuendelea na masomo ya juu. Pia chuoni kwake hawaruhusu kurudia...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu El -Nino na kupunguza vifo!

    Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari, Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani. Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu. Radi zitapiga majengo marefu yasiyo na mfumo wa kuzuia radi, zitapiga magari yasiyo na kuzuizi na kulipuka. Ligi kuu itabidi...
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukuza biashara

    Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji Namna ya kupata utajiri kwenye biashara Namna ya kupata wateja Namna ya kulinda biashara kikawaida...
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

    Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu "Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wape ushauri nasaha hawa Watanganyika!

    Hebu waambie kitu!
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: ziachwe mpaka zifike magotini

    Ni zile nywele alizoamua kufuga. Kisha baada ya hapo ndo atolewe. Naomba kuwasilisha ndugu wanaJF
  18. Nestory Semeni

    JamiiForums Tanzania Katika Harakati Ya Kutafuta Ushauri

    Jana nilikaa na kaka mmoja hv na kuongea kuhusu maisha, Na katika hiki na kile nikamwambia kuhusu changamoto fulani hiv ndogo, Lakini badala ya kupata ushauri ni kama nilikuwa nimefungua koki kwake, Naye akaanza kutoa lawama na kwa nini flan na flan wapo vile, Mh! Mwisho nikajiona nimeomba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tiba au Ushauri kwa Mtu Mwenye Makovu Yanayowasha, Kuuma na Kuwaka Moto Baada ya Jeraha

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi. Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika maeneo ya shingo, mgongoni na kifua (kama inavyoonekana kwenye picha), ambayo yanamletea maumivu...
  20. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania SITE PLAN BURE... USHAURI -BURE KUHUSU UJENZI

    Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo Tiles installation Epoxy resin Plasta ya kiwango Bora Tunapaua PAA za aina zote Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20) TUnakushauri...
Back
Top Bottom