Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
UBAKAJI, ULAWITI, UFIRAJI NA USHOGA HAVINA UHUSIANO WOWOTE NA HORMONAL IMBALANCE

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Angalizo: Asome mwenye umri kuanzia miaka 18.
Chini ya hapo awe chini ya uangalizi wa mzazi au mlezi

Kuna majitu ambayo yameshindwa kitabia, kimalezi na sasa yamekubuhu kwenye uchafu uliopitiliza, ni mashetani sasa. Wanajitetea kwa uzushi na uongo wa kijinga ili kuhalalisha tabia zao chafu.

Ushoga hauna tofauti na ulawiti au Ufiraji au ubakaji. Matendo ni yaleyale na yote yanahusisha kushindwa kudhibiti Mihemko ya kimwili lakini pia tamaa mbaya isiyo na mipaka inayohusu kufanya matendo machafu.

Jambo lolote linalohusu malezi halina uhusiano na mambo ya Homoni.

Mtu anayebaka huwezi sema amekumbwa na tatizo la homoni. Au mtu mfiraji au mlawiti huwezi sema amekumbwa na tatizo la ushoga.

Ushoga ni maamuzi wakati tatizo la homoni sio uamuzi wa mtu.
Shoga anauwezo wa kuacha kuwa shoga kama alivyokuwa na uamuzi wa kufanya ushoga.

Ni kama ishu ya Wanaume kupenda wanawake wengi. Hilo sio tatizo la homoni isipokuwa na maamuzi na kujiendekeza.

Watu wanaotetea mashoga ndio haohao wenye uwezo wa kutaka kulala na Baba au mama zao. Au wenye uwezo wa kutoka na mabinti au vijana wao.

Wanaume wanaotetea mashoga kikawaida ndio haohao wenye uwezo wa kufira au Kufirwa na vijana wao. Au ndio wale wajomba ambao wanafira Wapwa wao. Wala hakuna haja ya kupindisha maneno. Kwa sababu huo ndio ukweli.

Wamama wanaotetea Wasagaji ndio haohao ambao wanauwezo wa kuwasaga mabinti zao wa kuwazaa au mabinti kusaga mama zao waliowazaa. Au mashangazi kusaga mabinti wa Kaka zao.

Muogope sana mtu ambaye ni shoga. Ni kama Mbakaji au mlawiti. Hana tofauti na mnyama kwa sababu hawana uwezo wa kujidhibiti. Wanaongozwa na tamaa.

Huwezi tamani Kufirana na mwanaume mwenzako alafu ukasema ni tatizo la homoni. Alafu Watu wakutetee kama Watu hao sio wapenzi wa jambo hilo. Hiyo haiwezekaniki kabisa.

Unajua binadamu hutetea jambo ambalo anamaslahi nalo iwe moja kwa moja au kwa kificho.
Wapo wanaogopa au kuona aibu kuwa mashoga na hivyo hujificha kwenye kutetea mashoga huku wao wakijifanya sio mashoga ili jambo hilo likizoeleka au kukubalika iwe rahisi kwao kujiingiza humo.

Nina kuhakikishia kuwa siku ushoga ukikubalika kwenye jamii na duniani. Utashangaa Baba na kijana wake wanafirana. Au Mama na binti yake wanasagana.

Hilo litatokea kwa hakika kwa sababu kama mtu ameshindwa kujizuia tamaa yake mpaka amekuwa shoga atawezaje kujizuia kumfiraau Kufirwa na Baba au kijana wake? Au atawezaje kujizuia kusagwa au kumsaga mama au binti yake. Hiyo haiwezekaniki.

Kikawaida Watibeli, sheria ya mashoga inafahamika, Ni Kifo bila kujali ni Mimi mwenyewe, mtoto wangu, Baba au ndugu yeyote. Halikadhalika na wasagaji. Ni kifo tuu. Ni kama Wabakaji na walawiti na wafiraji nao ni kifo tuu.

Nafahamu shetani na waovu hutetea haki za waovu ili kujilinda wao na kizazi chao.

Hata hivyo nafahamu wapo Mashoga ambao chanzo cha ushoga wao ni kulawitiwa na Baba au Wajomba au kaka zao kwa muda mrefu kimabavu mpaka wameathirika kisaikolojia.
Hawa ni kesi nyingine. Hawa wachukuliwe kwa matibabu lakini lazima wataje waliowabaka au kuwalawiti ili hao waliowalawiti na kuwabaka wachukuliwe hatua kali.
Hata hivyo inawezekana mtu akawa shoga kisha akasingizia chanzo cha ushoga wake ni kulawitiwa kwa muda mrefu alafu akataja mtu ambaye marehemu.
Au akamsingizia mtu ambaye hata hajawahi kufanya jambo hilo.
Hivyo ni lazima uwekwe utaratibu mzuri wa kudili na matukio haya.

Nawatakia jumapili njema!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mkuu sijasoma post yako ila nadhani ulichoongea ni kitu haukijui.
Mashoga wamegawanyika mkú
Kuna ambao ni wanawake ila wana viungo vya kiume yaan wao zile tamaa za kingono huja kwa wanaume wenzao na sio wanawake hawa huwa binafsi siwalaum wala kuwachukia sababu sio wao bali wameumbwa hivo.
Kuna factor nyingi tu husababisha hili yakiwemo malezi ila sanasana hutokea pale mama anapokuwa kwenye msongo mkubwa sana wa mawazo akiwa mjamzito hasa first trisemester
Kuna waliofanyiwa vitendo vya ubakaji kundi hili lina mgawanyiko pia wengine ni tabia ile michezo ya utotoni ya kujaribu kuingiliana na ndo unajikuta imekuwa hivo.
Wengine umaskini wanaamua kujiuza ili kuingiza kipato
Binafsi siwachukii mashoga hata kidogo, na siwapendi hata kidogo (hapa sijaelrweka eeeh)
Siwachukii kwa sababu ni binadamu wenzangu na siwezi kuwa tenga, nawahurumia sana sana dometimes huwa najiskia hata kulia
Nawachukiaa sana kwa sababu ya matendo yao na siwezikaa karibu na shoga alipo. Coz najissikia aibu kuambatana nao
 
Ukishakuwa na viungo viwili alafu kimoja ndio kinafanya kazi. Hicho kinachofanya kazi ndio jinsia yako.

Michezo ya utoto pia inaweza changia lakini sheria zikiwa kali hakuna kitu kama hicho.

Kama vile walawiti na wafiraji na wabakaji ni kosa kubwa la jinai ndivyo hivyohivyo kwenye ushoga. Hakuna excuse
 
Sure mtibeli amna relationship kati ya hormonal na ushoga.

Ni tamaa za kujiendekeza na kushindwa kujidhibiti pia inacontroliwa kiroho mtu anashindwa kuachwa.

Pia hata kuwa na marafiki mashoga ni ujinga naona kwenye nyuz humu mtu anasema saiv anarafik 3 mashoga wanatoka out 😖 na wako kawaida tu iv kweli inaingia akilini.
 
👑
 
Marafiki watatu mashoga maaña yake yeye ni wanne
 
Nchi zinazoruhusu ushoga ni nyingi zaidi duniani,sisi tunaopiga piga kelele tunafirana kimya kimya wakati wazungu wanafirana Kwa uwazi.kila mwanamume alinde familia yake,hili sio swala la jamii tena ni personal my matter

Huwezi Linda familia yako kwenye jamii iliyooza.
Ndio maana kuna sheria za nchi.
Mbona ubakaji na ulawiti ni kosa la jinai?
 
Ipo hivi,ukiwa freemason kuna level ukifika ni lazima ufanyiwe ushoga,unafanyiwa jambo lolote la kukuumiza au kuudhalilisha utu wako ili uzidi kuwa maarufu hili jambo wao uliita humiliation ritual kufanya jambo ambalo litakuumiza kumfurahisha shetani. Au sadaka ya kujiteketeza au kujimaliza.Mara nyingi Kwa mwanaume ni kuingiliwa ( ushoga ) ili kuimarisha agano.
Watu maarufu wote wamefanya hili kina Jay z,Obama,joe Biden,papa,nk wote wale speaker zipo wazi,kwa sababu wao tayari walishafanyiwa wanakuwa na nguvu kubwa sana ya kuyachochea haya kwenye jamii kwa kutoa pesa nyingi sana kufanikisha hili
Ni sawa na mtu aliyetapeliwa anatamani na wengine watapeliwe ili kufidia uchungu.
Ndo maana unaona wanapigia sana debe ushoga kwa sababu tayari wao ni mashoga
 
Ukishakuwa na viungo viwili alafu kimoja ndio kinafanya kazi. Hicho kinachofanya kazi ndio jinsia yako.

Michezo ya utoto pia inaweza changia lakini sheria zikiwa kali hakuna kitu kama hicho.

Kama vile walawiti na wafiraji na wabakaji ni kosa kubwa la jinai ndivyo hivyohivyo kwenye ushoga. Hakuna excuse
Nakushauri uache kujitia wewe ni mtaalam wa vitu usivyovijua. Hapa umeposha kabisa. 1. Kuna watu wanazaliwa na hitilafu kwenye sex organs na hormones. Hawa hata uwape malezi gani hawawezi kubadilisha hisia zao. Ni kama ulivyo wewe sasa hivi, kama wewe ni mwanamme, uanze kupewa malezi kuwa kulala na wanawake ni vibaya na unatakiwa kulala na wanaume wenzako. Kuhusu adhabu kali, hili nalo linaonyesha huna ufahamu wa adhabu kwa mambo haya. Hivi unajua kuna nchi ambazo zilikuwa ukikamatwa unafanya ushoga adhabu yake ni kuuawa na mpaka sasa kuna sehemu bado wanafanya hivyo, lakini mashoga bado wanakuwepo?
 
Mkuu sijasoma post yako ila nadhani ulichoongea ni kitu haukijui.
Mashoga wamegawanyika mkú
Kuna ambao ni wanawake ila wana viungo vya kiume yaan wao zile tamaa za kingono huja kwa wanaume wenzao na sio wanawake hawa huwa binafsi siwalaum wala kuwachukia sababu sio wao bali wameumbwa hivo.
Kuna factor nyingi tu husababisha hili yakiwemo malezi ila sanasana hutokea pale mama anapokuwa kwenye msongo mkubwa sana wa mawazo akiwa mjamzito hasa first trisemester
Kuna waliofanyiwa vitendo vya ubakaji kundi hili lina mgawanyiko pia wengine ni tabia ile michezo ya utotoni ya kujaribu kuingiliana na ndo unajikuta imekuwa hivo.
Wengine umaskini wanaamua kujiuza ili kuingiza kipato
Binafsi siwachukii mashoga hata kidogo, na siwapendi hata kidogo (hapa sijaelrweka eeeh)
Siwachukii kwa sababu ni binadamu wenzangu na siwezi kuwa tenga, nawahurumia sana sana dometimes huwa najiskia hata kulia
Nawachukiaa sana kwa sababu ya matendo yao na siwezikaa karibu na shoga alipo. Coz najissikia aibu kuambatana nao
Mwanamke mwenye maumbile ya kiume sio shoga,
 
Sure mtibeli amna relationship kati ya hormonal na ushoga.

Ni tamaa za kujiendekeza na kushindwa kujidhibiti pia inacontroliwa kiroho mtu anashindwa kuachwa.

Pia hata kuwa na marafiki mashoga ni ujinga naona kwenye nyuz humu mtu anasema saiv anarafik 3 mashoga wanatoka out na wako kawaida tu iv kweli inaingia akilini.
Kwann isiingie akilini? Hivi rafiki wa shoga anayekaa nae mchana, na huyu jamaa anaye mlala usiku yupi ana afadhari?

UNAFIKI wabongo unawasumbua.
 
Back
Top Bottom