stahiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Ukweli usiopingika: Miaka 47 tangu CCM izaliwe lakini haijatendea haki watanzania kwa kuleta maendeleo stahiki.

    Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo. Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa...
  2. N'yadikwa

    Mandela Road: Barabara iliojengwa kwa viwango stahiki

    Hii barabara pichani kwa jina MANDELA Road, ndio barabara yangu yenye ubora kabisa. Kwanza, imedumu bila kubonyea bonyea, kuweka mabigijii kama ilivyo baadhi ya barabara zenye heavy traffic Pili, imezingatia haki za watumiaji wote. Inayo sehemu ya mapitio ya dharura, waenda kwa miguu na magari...
  3. MIXOLOGIST

    Bado natafakari kifungo cha jela si adhabu stahiki na rekebu

    Heri ya mwaka 2024 walimwengu Mwaka huu umeingia nikiwa natafakari mambo kivingine hasa hili la kuwafungia watu wazima sehemu moja (jela) bila kujali wamefanya makosa gani, yaani adhabu ni moja kwa watu waliofanya makosa tofauti tofauti. Kwanini tuwaweke wahalifu ndani? tuna waogopa...
  4. M

    Serikali iwahurumie waliofanya kazi private. Itoe tamko wapewe stahiki zao

    Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano. Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu...
  5. A

    DOKEZO Wafanyakazi SGR Itigi tumeandama, watulipe stahiki zetu kabla hawajaondoka

    Hivi ndivyo ilivyo katika Camp ya Itigi, sisi Wafanyakazi wa Mradi wa Reli ya SGR, tumeandamana hadi kwa HR wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi tukitaka kujua majaaliwa ya stahiki zetu baada ya kufukuzwa kazi. Mkandarasi Mkuu ametangaza punguzo la Wafanyakazi, sasa kila tukiuliza kuhusu...
  6. Blender

    El Nino ipo chukua HATUA mapema

    Kwa wakazi wa Dar es salaam, mlio kuwa munasema TMA ni waongo, Haya 👆 Sasa tupeni update Hali ilivyo hapo kwako. Ewee mkazi AU mfanya biashara wa Dar chukua tahadhari ya El Nino, IPO
  7. Kingsharon92

    Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  8. A

    DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    ➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...
  9. N

    Ili maji ya kunywa yawe bora, yanatakiwa kuwa na viwango gani vya madini?

    Naomba kuuliza ni kiwango gani cha madini kinachotakiwa kuwekwa kwenye maji ya kunywa? MFANO: Hill>> Chloride 16 Magnesium 1.8 Nitrate 0.43 Potassium 0.1 PH 7.0 TDS 40 Uhai>> Chloride 9.4 Magnesium 1.5 Sulphate 2.3 Potassium 2.6 pH 7.3 TDS 40 Calcium 4.0 Fluoride 0.2 Sodium 14.5 Afya>> TDS 40...
  10. benzemah

    Stahiki za Familia katika Simu/Laini ya Marehemu

    Unajua kuwa ndugu au jamaa yako akifariki una uwezo wa kupata taarifa zake na miamala yake? Jibu la swali hili linapatikana katika kanuni mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (CRA) za mwaka 2023? Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za 2023 (Usajili wa laini za simu) sasa...
  11. F

    Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

    Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba. Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki...
  12. Nzelu za bwino

    Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
  13. M

    Sidhani kama watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ulawiti kwa watoto wanachukuliwa hatua stahiki

    Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu. Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
  14. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  15. M

    DOKEZO Afisa Mikopo Chuo cha Mbeya University of Science and Technology (MUST) wapeni vijana stahiki yao (boom)

    Habari wakuu, poleni na mjukumu, Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu. Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia baadhi wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa ya kujikimu (boom), pesa ambayo watoto wamesign mwezi wa...
  16. B

    Msiolipa kodi stahiki hamna uhalali wa kutuwekea Tozo juu ya kodi tunazolipa

    Viongozi wetu hawana nia ya kulipa kodi kama inavyostahili. Ili kukwepa kulipa stahiki yao kamili ya kodi, sehemu kubwa zaidi ya mapato yao wameiita "posho." Kwenye orodha ya wakwepa kodi hao yumu Mwigulu na timu nzima ya vigogo wote. Almaarufu walamba asali. Kwa wenzetu kunaponoga: Enyi...
  17. J

    Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  18. R

    Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  19. data

    Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  20. J

    Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa. Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
Back
Top Bottom