Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,848
- 15,252
Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji.
Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku hadi Siku na hivyo kuwaachia makovu makubwa watoto, wazazi, walezi na ndugu.
Mfano mkoani Mbeya ndani kipindi cha mwezi February hadi March 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa, hiki ni kiwango kikubwa ndani ya muda wa miezi miwili na katika mkoa mmoja.
Je, hali Ikoje katika mikoa mingine ndani ya nchi yetu?
Je, nini kifanyike au Sheria gani itungwe itakayoweza kukomesha au kutokomeza kabisa aina hii ya ukatili kwa watoto?