Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu...
Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa.
Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
Dar es salaam, leo 26 July kuna kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 16 hadi 17 (jina linahifadhiwa) maeneo ya Ubungo Msewe amepatikana nje ya nyumba akiwa amejilaza huku akivuja damu nyingi sana maeneo yake ya siri yaani sehemu ya haja kubwa chanzo kikidaiwa ni kulawitiwa na...
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma...
Nimesoma taarifa ya kuachiliwa kwa dhamana mahakamani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simuyu, Yahaya Nawanda kwa tuhuma zinazomkabili za ulawiti.
Zaidi soma: Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana
Kwa wajuzi wa sheria, Tuhuma za ubakaji na ulawiti zina...
Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na...
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Tatizo la ushoga halitokani na masuala ya kibayolojia yaani kama wanaotaka kuhalalisha ushoga wasemavyo kuwa ushoga ni ishu ya hormones imbalance. Ni uongo wa mchana.
Ushoga ni vitendo vinavyotokana na Ishu ya kisaikolojia yaani Tabia na akili ya mtu...
Hapa JUZI tulisikia kiongozi mmoja aliingia kwenye tuhuma na kashfa za kulawiti mwanafunzi wa CHUO
Lakini UVCCM hawakujitikeza na kulaani jambo Hilo.
Tukasikia tena Mtoto kapotea na ghafla mwili wake umeokotwa ukiwa baadhi ya viungo vya mwili vimenyofolewa Cha ajabu UVCCM hawakujitokeza hata...
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa.
Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!??
Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo.
Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo...
VITA DHIDI YA ULAWITI NA UBAKAJI KWA WATOTO KUNUSURU VIZAZI VYETU
UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokumbwa na ongezeko la matukio ya ulawiti na ubakaji kwa watoto wa dogo tatizo hili linaongezeka kwa kasi sanaa .takwimu zinaonyesha kufikia aprill,2024 jumla yamatukio 799 ya...
Ni aibu na fedhea sana...
Inakera, inachefua na kusikitisha sana..
Inaamsha hasira sana, kuona au kuskia mtoto, ndugu, jamaa au rafiki wa familia amekumbwa na uchafu, unyama au uharibifu huu..
uharibifu na uchafu huu unachochewa na mambo gani hasa ili kama miongoni mwa wanadamu humu JF...
UBAKAJI, ULAWITI, UFIRAJI NA USHOGA HAVINA UHUSIANO WOWOTE NA HORMONAL IMBALANCE
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Angalizo: Asome mwenye umri kuanzia miaka 18.
Chini ya hapo awe chini ya uangalizi wa mzazi au mlezi
Kuna majitu ambayo yameshindwa kitabia, kimalezi na sasa yamekubuhu kwenye...
Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji.
Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu.
Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.
Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia.
Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au...
Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara.
Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu.
Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37.
Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.