Ni habari iliyotikisa wengi, wengine wakacheka kwa uchungu na wengine wakashika vichwa: Chuo cha Arusha Technical College (ATC) kimetangaza kuwa hakutakuwa na sherehe za mahafali kwa wahitimu wa mwaka 2025, zilizopangwa kufanyika tarehe 31 Januari 2026.
Sababu? Asilimia 7 tu ya wahitimu ndio...
Lissu wewe ni mwamba.
Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono pale jumba jeupe ila unagoma.
Lissu unatunyima usingizi sisi machawa.
Umegoma kwenda Ikulu kama Freeman umegoma.
Kazi yetu inakuwa ngumu sisi machawa mbele ya kimataifa.
Lissu legeza kamba umetushika pabaya
Upo gerezani...
Hello Wakuu.
Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii.
Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again"
Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi. Sasa wataanza kugomea biashara kwa mfano walivyogoma kuunga mkono wasanii wataanza kugomea biashara na mambo ya serikali ambayo ni ya uchumi.
Kama wananchi hawana ushirikiano na serikali kuanzia vijijini mpaka mjini hilo pia ni...
Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu.
Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu.
Kataa wahuni !
Taarifa kutoka kwenye chanzo imara kabisa leo zimenifikia zikisema kuwa Tundu Lissu has rejected President Samia Suluhu Hassan’s offer ya kuundwa serikali ya mseto .
Jamaa anasema nipo kwenye mikono yenu ,mimi siyo bora kuliko wengine , nilichokisimamia ndicho ninachokiishi na ndicho nilicho...
Hadi Kakakuona amegoma kutiki🤣🤣🤣 kasema "No Reforms?... bora nilale😂😂"
================
Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku akitarajiwa kutabiri mambo mbalimbali ikiwemo...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu.
Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani...
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB.
Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya petrol kupanda haya wameuliwa na police na wengi majeruhi.
Lakini unaonaje kama wangefanya...
Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open
MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele,
Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu..
WAtoto kaachiwa jamaa...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem:
"Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi.
Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.'
Kwa lugha...
Habari wadau!
Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga.
Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi?
Na kama kweli...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.