uzinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mabinti waambiwe ukweli serikali haitakuwa na muda wa kushughulikia ujinga na uzembe wao watakapozalishwa na wanaume wapenda uzinzi. Hasa mabinti mask

    MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba 1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
  2. Solo Traveller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegombana na mtu wangu wa karibu kwa sababu nimemnyima Gheto langu asifanye uzinzi

    Nanukui "Oya kaka kuna demu nimempata hapa chapu naomba funguo niende nae gheto kwako nikapige chapu" Nikazima simu kabisa Baadae analeta makasiriko Yani ukamwage shahawa zako na Malaya wako sehemu yangu ya kulala?? Huu upumbavu siwezi kufanya jaman au makosa?
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

    Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui. Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
  4. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiapo: Kuanzia leo nimeacha uzinzi

    Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

    1. SLEEPOVER Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l. 2. ONE NIGHT STAND Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile. 3...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiri maudhui ya uzinzi yameshakuwa normalized sasa. Teknolojia sasa imesimama kama dalali wa kukufikishia hurka za kifuska zilizomo ndani ya watu

  7. Setfree

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Jifunze hapa jinsi ya kushinda tamaa hiyo

    Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi: "Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Uzinzi ni mbaya mnoo aisee, nishawahi fukuzia mrembo fulani ananifanyia dharau kumbe mme wa shangazi yake alipokuwa anaishi alikuwa anajilia kisela

    Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁 Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uzinzi Ndio Adui Mkubwa wa Kibali chako ulichopewa na Mungu

    Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si rahisi kuviona kwa macho ya kawaida, lakini vina uzito mkubwa sana katika maisha ya kiroho na kimwili...
  11. Bueno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyotapika katikati ya uzinzi baada ya kukutana na harufu ya yai viza

    Nilidhani wanawake wana harufu ya kisamaki tu,nilichokutana nacho mwaka huu,naapa kuacha uzinzi. Harufu ya yai viza baada ya kuvua nguo ya ndani.kumenifanya niokoke na kuchukia wanawake wanene Nilijikuta natapika katikati ya tukio.nikasingizia nina malaria. Cha ajabu ni mke wa mtu.hakika...
  13. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutofautisha kati ya Uzinzi, Ufuska na Uasherati

    Nisaidieni kutofautisha kati ya Uzinzi, Ufuska na Uasherati
  14. The Father of All

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ulimbukeni na uzinzi linda na penda ndoa

    Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao. Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
  15. Right Marker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda huu kuna wazinzi wanamcheka Mwijaku kufanya uzinzi

    Kama ilivyokuwa kwa "Mwijaku wa zamani" aliwacheka wazinzi wenzake waliomtangulia kubumbuluka kwenye skendo ya uzinzi. Ndivyo ilivyo hata sasa kuna wazinzi wengine wanamcheka "Mwijaku wa sasa" kufanya uzinzi. Kila mwizi ana siku yake ya arobaini. Hizo arobaini hazihesabiwi kama ulivyofundishwa...
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
  17. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uzinzi pekee ndo dhambi isiyofutika kwa watu

    WANADAMU HAWATA SAHAU JUU YA DHAMBI YAKO YA UZINZI🔥🔥 Mungu husamehe dhambi zote ikiwemo dhambi ya uzinzi au zinaa. Ikiwa wewe unasema umeokoka ukizini na mke au mume wa mtu au na yeyote;jambo hilo likibainika kwenye jamii yako,basi wanadamu hawatakaa wasahau hilo tukio.Hata kama umeacha na...
  18. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uzinzi,nadhiri, kiapo, ahadi na agano katika ulimwengu wa kiroho

    Wengi tulikuwa hatufahamu wale wasichana wadogo wanaotaniwa na babu zao kwa jina la "mke wangu" au "Mchumba" alafu baadae siku akija kumuoa kuna fedha huwa zinatolewa kwamba ni kumwachanisha mtu na mkewe, yaani babu kumwachanisha na mjukuu wake wa kike, usifikiri ule ni utani sio utani. Babu...
  19. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua zinaa na uzinzi vinabeba baraka zako?

    Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania TikTok imekuwa chimbo jipya la kueneza uzinzi, ushoga ukahaba na uasherati ulipitiliza

    Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa...
Back
Top Bottom