Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,996
32,433
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
 
Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    IMG_8276.jpeg
    56.4 KB · Views: 6

Unajitekenya na kucheka mwenyewe ukiwa na aibu.
Hamas wakiua wanamtaja nani?
Huyo wanaye-mtaja ndio imani yao!
 
Unakumbuka video ya Lwakatare wa chadema au ulikua hujazaliwa?
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
 
Hamas wametukosea sana watanzania na walimwengu wapenda amani. Hawawezi kusafishika kwa propaganda yoyote..
israel ndio anaosifika kwa uongo na propaganda duniani hadi wazungu wenzao wameanza kuwachoka juzi wameua watu kanisani ambao walikuwa kwenye ibada zao makusudi hadi wazungu wenzao wameita kitendo hicho ni uuaji wa kikatili bado mkristo wa mbagala huwezi hata kutumia akili kujua wapi kuna tatizo
 
Attachments

  • Screenshot_20231218-124842_Instagram.jpg
    Screenshot_20231218-124842_Instagram.jpg
    97.7 KB · Views: 6
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
Uliponaje kule Kibiti na mkuranga wee gaidi?
 
Freedom fighters gani unaua watu wasiohusiana na Ugomvi wenu... Sasa Joshua anahusishwa vipi na Vita yao
Kwanza hatuna uhakika kwamba ile video ni ya joshua tuache mihemuko , kama waliweza kukaa na mateka wa israel siku zote hizo na mateka wameachiwa wakiwa hai na kusema walitendewa haki na kuheshimiwa kwanini wamtese au kumuua mtanzania tutulie wakati tunapata taarifa kamili
 
Back
Top Bottom