Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,861
Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu wanafuga ndevu na wanavaa kanzu kudhiriisha culture ya uislamu.
Mimi binafsi nakataa, kwa sababu miaka hile ndevu zilifugwa kwa sababu kulikuwa hakuna teknolojia za vifaa vya kunyoa kama sasa, yani umaridadi wa sasa wa kunyoa kwa mitindo mbalimbali ulikuwa haupo, watu walikuwa wananyoa kwa kukata tu hili ziwe fupi. Hivyo watu walifuga nywele na ndevu sana kwa sababu option zilikuwa kufuga au kunyoa, ndio maana uwezi kukuta hata kwenye movie au picha za yesu mtu kanyoa panki, wote wamefuga ndevu na nywele ndefu. Na kwa sababu za miaka hile kazi kuu zilikuwa za kuchafuka, kuwinda, kuvua, na kazi ngumu ngumu za porini, watu hawakuona haja ya kunyoa, kwa sababu hakukuwa na civilization kama ya sasa.
Ukija kwenye vazi, walikuwa wanavaa magauni kwa sababu zama za kale kulikuwa hakuna ubunifu wa mavazi, na asilimia kubwa walivaa magauni ya mtindo wa kanzu. Hizi design za suruali na kaptula zimekuja hivi karibuni. Ukitizama hata huko Roma na Ulaya walikuwa wanavaa magauni
Kwa maana hiyo hii karne ni ngumu kuendelea kufuga ndevu kama zamani au kuvaa magauni kwa sababu ni karne tofauti na karne hii mitindo ya mavazi ni mingi.
Kusema tu eti kwa nini mitume na manabii walivaa kanzu ni kwamba kulikuwa hakuna mtindo wa mavazi, na kwa sababu ya uislamu.
Na ndevu zilifugwa kwa sababu kulikuwa hakuna mtindo au saloon za kunyoa kama sasa na si kwa sababu ya Uislamu