Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu...
Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh.
Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani
Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg==
https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ==
ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu?
Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini?
Uislamu ni dini ya HAKI.
Uislamu ni dini ya...
Mimi ni muislamu.
Uislamu hautaki mtu dhaifu
Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo.
Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu.
Tusiangushane.
Hatuna muda mwingine zaidi ya huu.
Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
Ubayd Allāh ibn Jahsh (عبيد الله بن جحش), ambaye alikuwa binamu wa Mtume Muhammad ﷺ.
Nitasimulia kwa ufupi historia yake halisi kama inavyopatikana katika vyanzo vya mapema vya Kiislamu
Jina kamili:
ʿUbayd Allāh ibn Jahsh ibn Riʾāb al-Asadī
Alikuwa ndugu yake Zaynab bint Jahsh, ambaye baadaye...
Raia wa Iran wanajitoa muhanga maana kuuaga uislamu unapaswa uchinjwe kabisa, hili hapa andiko lao 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922
Taratibu wananchi wa Iran wanakombolewa kutoka kwenye uzombi wa kidini, ifahamike wale ni Waajemi, na kihistoria...
Wala gaza sio wahanga wa uyahudi.
Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi.
Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala.
Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota...
Zamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee.
Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia.
Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara.
Tafiti za kweli na...
Kwenye ukristo na katika Uyahudi huko agano la kalii nabii alichukuliwa kama ni mtu muonaji/seer wa mambo ya yajayo mbeleni, pia katika agano la kale na Uyahudi hakuna mtume au mitume. Katika agano jipya ndio kumekuwepo na cheo cha mtume(apostle) ambapo kinahusu wale wafuasi 12 waliokuwa...
Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY
Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi...
Moja kwa moja..
Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.