uislamu

  1. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  2. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Lissu na Samia, Maaskofu na Mashekhe

    Nimesoma kitabu cha CRASH OF CIVILIZATION AND REMARKING OF NEW ORDER cha mwandishi nguli Samwel P. Huntington juu ya namna gani watu wamekuwa na ustaarabu mpya wa kujuana na kutambuana aidha hata kuhishimiana kutokana na dini zao kuliko hata tamaduni zao. Mwandishi alianza kwa kunishtua mtima...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mashekhe wetu Katika Uislamu - Tahadharini

    Baadhi ya Mashehe sasa wamekuwa wakijiingiza katika mambo ya aibu ndani ya mitandano na youtube Tvs. kwa kweli kinachoingia mjini na wao utawaona wapo katikati na haswa haya mambo wasanii ,utawaona wapo msitari wa mbele na wao wakitowa fatuwa. Watu hawa wasanii ni waislamu jina ,na hawana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Islamic scholar maarufu duniani Sheikh Assim Al-Hakeem amekataza waislam kusoma Logic (mantiki) and philosophy sababu zinasababisha wauache uislamu

    video inaonesha Islamic scholar ( mwanazuoni )mkubwa akikataza waislamu kujifunza logic and philosophy maana wakizijua wanauacha uislamu. shehe anasema uislamu hauna mantiki, tazama video mwenyewe shehe huyu ndie Imam wa msikiti mkuu Jeddah kwa zaidi ya miaka 20
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  6. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

    Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake. Mu'az amesimulia: Nimemsikia Mtume wa Allah akisema" Mbaya ni yule anayelundika bidhaa na kuifanya iwe adimu...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo anakwambia Somalia wale sio waislamu, kama ndio uislamu wenyewe basi kajionea

    Kuna video hipo youtube akisimulia kuhusu alivyo kwenda somalia kuhubiri dini. Roho za watu zimejivisha dini lakini sivyo ndivyo anavyo sema. Anasimulia alivyo tekwa na al shabab wakamwambia ubaki na ujitolee kusalisha ila mwenzake alimtonya kuwa ukisema mema watatumaliza. Ilibidi kuanza...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  10. hamis77

    JamiiForums Tanzania Uislamu na tamaduni za Kikureshi(Kiarabu)

    Ingawa Mtume Muhammad alileta Uislamu kama dini mpya, ni dhahiri kwamba alihifadhi sehemu kubwa ya mila na desturi za wapagani wa Kikureshi. Hebu tuangalie Leo baadhi ya Mila na desturi za kipagani alizoziendeleza kwenye dini yake mpya 1. Kuheshimu Jiwe Jeusi (Hajar al-Aswad) Katika mila za...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kuabudu Jiwe Jeusi pale Mecca, Saudi Arabia ni kama kuabudu sanamu

    Jiwe linaloabudiwa huko Mecca linajulikana kama Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi). Jiwe hili lipo kwenye pembe ya mashariki ya Kaaba, Kaaba ni jengo la pembe nne lenye shuka jeusi na juu limezungushiwa urembo wa rangi ya dhahabu katika Msikiti Mkuu wa Mecca (Masjid al-Haram). Kaaba ni eneo la...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi la jeshi Nigeria

    Magaidi wa ISWAP wakishirikiana na Boko Haram, wote wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi ya kijeshi na kufanya maafa kule Nigeria. Hawa ISWAP sikua nawajua, duh yaani mwezi wao mtukufu ndio huwa na ushetani mara kumi......mpinga Kristo katika ubora wake. ========================== Suspected...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

    Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi. Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU. REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana. CCM cares only about...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

    1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako. Ila 2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe. Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe? Wewe...
  17. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni...
  18. Dhul Qarnainn

    JamiiForums Tanzania "Wake Wengi Katika Uislamu: Hekima, Masharti na Ukweli Usiojulikana!"

    Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an: "Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine; wawili au watatu au wanne. Lakini mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu."...
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mike Tyson aliingia katika Uislamu kwa Hasira tu na mihemko. Simwoni kama ana Uislamu

    Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama. Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au...
Back
Top Bottom