uislamu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Papa wa Kanisa Katoliki umeonyesha unafiki wa wazi wa Uislamu na Waislamu kwa ujumla duniani

    Wakati baadhi ya mataifa ya Kiislamu yakionekana kushirikiana na Marekani dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran, ni Papa wa Kanisa Katoliki ambaye amesimama wazi kupinga matumizi ya nguvu na kusisitiza njia za amani katika kutafuta suluhisho la kudumu lenye haki kwa mataifa yanayoendelea kukumbwa...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV ndani ya msikiti: Uhusihano wa Uislamu na Roman Catholic

    Papa Leo XIV akiwa Algeria: "Ushirika kati ya Wakatoliki na Waislamu unachukua sura chini ya ulinzi wa Mama Yetu wa Afrika. Hapa, nchini Algeria, upendo wa kimama wa Lalla Meryem (bikra Maria) unawakusanya wote kama watoto, ndani ya utofauti wetu mkubwa, katika tamanio letu la pamoja la...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uislamu hauna uniform-Mhadhiri

    Kwa muda mrefu sana haikumbukiki ilianza lini, ilizoeleka kuwa aina fulani ya nguo au uvaaji kuwa ndiyo alama ya Uislamu. Kuvaa matarabushi, misuli, barghashia, kanzu, sandali, baibui na Abaya ilihesabiwa kama ndiyo alama za uislamu. Lakini siku za hivi karibuni wameibuka wahadhiri mbali mbali...
  4. adriz

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal avunja ukimya kuhusu kauli za kibaguzi na kejeli dhidi ya Uislamu

    Moja kwa moja . Katika mechi ya kimataifa ya Kirafiki wiki hii kati ya timu ya taifa ya Uhispania (Spain) dhidi ya Misri (Egypt) kundi mashabiki wa Spain walisikika wakiimba na kuruka "Asiyeruka ni Muislamu (kama hauruki ni Muislamu" wakati pambano likiendelea . Baada ya mchezo huo video hiyo...
  5. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

    Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu? Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

    Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha.... Sio maneno yangu ila andiko hili hapa.... sahih al-bukhari 3237 Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Uislamu, nchi ya Waisraeli/Wayahudi ni ipi?

    Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uislamu na kuchinja mifugo inayoliwa na watu

    Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu. Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu...
  9. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua dini nyingine zaidi ya Ukristo na Uislamu?

    Tuliozaliwa na kukulia bongo tukiambiwa kuhusu dini, akili yetu inakimbilia kufikiria kuhusu dini kuu mbili hapa nchi Ukristo na Uislam. Lakini, mbali na Ukristo na Uislamu, dunia ina dini nyingi. Uhindu Ubuddha Sikhism Uyahudi. Shinto Taoism Rastafarianism Dini za Kiafrika za asili E.t.c...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Adel al Kalbani : Iran ndiyo inachelewesha Maendeleo ya Uislamu Duniani kwa ghilba zake

  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukiniona natembea, naongea au ukikaa nami saa moja tu utajua mi ni Uislamu upo damuni

    Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko. Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

    Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Uislamu ni "local religion" ya jangwani iliyofaili mtihani wa dunia! (wenye akili tu)

    Wakuu Leo nataka tuweke pembeni hadithi za "Abunuwasi" na tutumie akili kidogo. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimegundua kuwa Uislamu haukuandikwa na Muumba wa Ulimwengu (Universe), bali uliandikwa na watu wa kijijini kule Uarabuni ambao walikuwa hawajui hata kilomita 2,000 mbele yao kuna...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Uislamu na Amani, asema mtoto wa Hamas

  17. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu unaaminiwa ni dini moja kwa walimwengu wote

    My people, Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad Ali alidanganywa kuingia Uislamu (Wasomi wataelewa)

    Warning.! This thread is for people with ability to speak and understand English. As native speakers or second language. Those who cannot understand should just recite some lines from the Quran. But you are allowed to give your comments in Swahili if you have understood.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uislamu sio tatizo ila tatizo umeingia na madhehebu kujifichia kwenye dini

    Ndugu zangu waislamu hawana kosa ila wanashindwa kuelewa kuwa dini yao ina madhehebu. Madhehebu ni kwamba watu watakuwa wakitumia imani moja ila sheria,katiba na ufikiri mkawa tofauti. Tumeona kwenye ukristo sasa mpaka wengine wanauza maji na udongo kwa kisingizio ni wakristo wakijiita dhehebu...
Back
Top Bottom