Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki.
Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
Habari za muda huu Wana-JF wenzangu, natumai mko salama.
Leo kwenye jukwaa la burudani na kumbukumbu (Zilipendwa), natamani tuutazame kwa ukaribu wimbo mmoja maarufu sana uliorekodiwa miaka ya 1980 na bendi nguli ya Orchestra Bima Lee. Huu si mwingine bali ni wimbo wa "Mwamvua", ambao wengi...
Wakuu salama,
Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini.
Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
Habari jamiiforum.
Hii ni Kwa watu wazima 40+
Mambo meengi tunafanya ila kuna makosa yanajitokeza bila kujua,tunajiaibisha bila kujua.
Mbaya zaidi tunaona ni kawaida.
Na ni ngumu mtu kukwambia ukweli
1.Vitu tunavyopost kwenye social network.
Kuna watu wanaweka status huko WhatsApp...
Inasikitisha.....Naona CCM inakwenda kwenye mkondo wa Sharpeville Masacre and here we are!
Tume ya jana itakuja na mapendekezo ya kuifuta
Sikiliza clip
Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar.
Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!
Nikashangaa...
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao.
Habari Tanzania !
Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama.
Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa.
Asante.
Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...
Kuna jambo sijaelewa hapa kinachoendelea tanganyika.Naona wanzabari wakianza kurudisha kwao na wengine kuuza mali kwa bei kubwa kwa watanganyika.
Kabla ya uchaguzi alivyoshika madaraka kama kuna ajenda ilikuwa kisiri maana uwekezaji wa wanzanzibari umekuwa wa kuepeleka kwao sio utanganyikani...
https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v
Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV)
Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA.
Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa
Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama...
Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia.
Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita...
Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?"
Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.