Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba.
Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
"Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya dola.
Faruk Fatih Ozer, mwenye umri wa miaka 29, aliikimbia Albania mwaka 2021 na mali za...
Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
Kupoteza mamilioni ya shilingi katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato ni janga la kitaifa. Inaonekana kuwa Serikali yetu imepoteza shilingi bilioni 1,494.75 kutokana na vitendo vya rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu. Hii ni idadi kubwa sana ya pesa ambayo ingeweza kutumiwa kuboresha huduma za...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko...
Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023.
Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
Nimefuatilia kwa karibu matumizi ya V.A.R katika mashindano ya CAF na kusema ukweli huwa sina imani na jinsi zinavyotumika hasa pale timu mojawapo ni ya Afrika Kaskazini.
Kwa mfano najiulizaga kwa nini siyo kila replay ya V.A.R huwa inaonyeshwa? Nimeona matukio mengi ambayo mpira unasimama ili...
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU
Na Mwandishi Wetu
Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao kutokana na kubainika na matumizi mabaya ya kadi zao...
Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja.
Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
Na WyEST
MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022.
Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
Prof. Adolf Mkenda akiwa katika mkutano na waandishi wa habari Dodoma, leo Februari 8, 2023, amesema:
“Gharama za kuendesha mitihani ya kitaifa ni kubwa, kufanya udanganyifu ni sawa na uhujumu uchumi hivyo watumishi wa umma watakaobainika kushiriki katika udanganyifu wa mitihani hiyo...
Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye shule binafsi tu. Bahati mbaya hakuna uwazi wa namna wanavyofikia maamuzi yao.
Kwa kawaida udangayifu...
Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani?
Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.
Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na mtu kujali maslahi ya wengi pale anapokuwa na cheo kwa niaba ya Umma.
watu waadilifu wataweka...
Habari!
Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect.
Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza.
Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo.
Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
Wana Jf.
Wakati serikali ikijitahidi sana kuingiza fedha nyingi kwenye kilimo, makampuni ya simu yapo mstari wa mbele kuumiza matumiaji wa Internet kwa kuongeza gharama lukuki kila mwezi. Uwezi kumaliza mwezi kabla ya vodacom na airtel hazijapunguza vifurushi vya bando. Hii ni kudidimiza juhudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.