udanganyifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kenya yaripotiwa kufungia mtandao wa Telegram ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya. Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Afrika Kusini: Mrembo mwenye asili ya Nigeria ajitoa kuwania Taji la Miss South Africa 2024

    Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni. Baada taarifa hiyo leo Chidimma Adetshina ametoa taarifa kupitia mitandao yake ya Kijamii ya...
  3. Mtoa Taarifa

    Umoja wa Ulaya: Kuna udanganyifu kwenye matokeo yanayotangazwa na Mamlaka za Uchaguzi Msumbiji

    Umoja wa Ulaya umesema umebaini ukiukwaji wa taratibu wakati wa Kuhesabu Kura na hivyo baadhi ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu yanayotangazwa hayaendani na uhalisia wa Kura zilizopigwa Taarifa ya Waangalizi wa Uchaguzi wa EU imesisitiza Mamlaka za Uchaguzi kufanya mchakato wa kujumlisha Matokeo kwa...
  4. M

    LGE2024 Mianya ya udanganyifu ilivyotawala zoezi la uandikishaji

    Kesho, zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linafikia tamati. Leo, nikiwa na muda wa kutosha nyumbani, niliona ni vema kuzunguka vituo vya kujiandikisha vilivyopo katika eneo langu la Buza ili nijionee hali halisi. Swali lililonisukuma kufanya hivyo ni moja: Je, haki...
  5. REM GROUP

    SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  6. Yoda

    Wizi wa udanganyifu wa tiketi katika SGR umenikumbusha walafi enzi za shule. Hakika "samaki mkunje angali mbichi"

    Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
  7. realMamy

    Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

    Mimi binti wa miaka 24 mwaka jana nilipata mchumba akaja hadi nyumbani akanitolea kishika uchumba baada ya hapo tukawa tunasubiri mahali siku ya kutoa mahali ilipofika kweli alikuja na mshenga wake mi sikujuwa kilichoendelea make walikuwa na wajomba ndani baada ya hapo akanivalisha pete...
  8. JanguKamaJangu

    Prof. Mkenda: Waziri hana mamlaka ya kuingilia chuo kama umefukuzwa kwa kudanganya

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika udanganyifu wa mitihani Kauli hiyo ameitoa Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  9. X men

    KERO Udanganyifu Mahospitalini

    Habari wadau!! Nimeona leo tujadili hili suala ambalo kadri siku zinavyozidi linazidi kuota mizizi, kumekua na udanganyifu mkubwa sana katika hizi Hospitali binafsi hasa zile zinajinasibu kutoa huduma za kibingwa, ukienda hizo hospitali mfano Nkinga referral hospital ya Igunga, Malolo Hospital...
  10. F

    SoC04 TAKUKURU inawezaje kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo ili kuzuia ubadhirifu na udanganyifu?

    Utangulizi Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
  11. The Sheriff

    Mchungaji anayefahamika kama 'Bling Bishop' ahukumiwa Miaka 9 kwa Udanganyifu na Ulaghai

    Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu ya mshirika wake na kujaribu kumlaghai mfanyabiashara mmoja. Whitehead alipatikana na hatia mwezi...
  12. P J O

    KERO Tabia ya wafanyakazi wa Azam Ferry kusajili line ya AzamPesa bila ridhaa ya mteja sio sawa

    Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako. Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni wizi wa Taarifa Binafsi na Ulaghai. Mwisho wanakupeleka dirishani ukatiwe tiketi ila sasa unakuta...
  13. KikulachoChako

    Aina za udanganyifu kwa wapendanao au wanandoa

    1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine. 2. Kuficha mapato na matumizi (financial cheating). Ukiona mwenza anafichwa kipato na matumizi ujue kaanza udanganyifu. Mara nyingi...
  14. Replica

    Wamasai waliohama Ngorongoro walalamika zoezi hilo kuzungukwa na udanganyifu, wasema watarudi

    Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera. Wananchi hao 136 wamesema zoezi hilo limezungukwa na udanganyifu, wamemtaka Rais Samia kufuatilia zoezi hilo kwa kuna watendaji...
  15. Natafuta Ajira

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa mjini siku hizi wanaiita matunzo. Mambo yapo ivyo karibu kila nyanja zinazohusu masuala ya kijinsia...
  16. Shining Light

    Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  17. BARD AI

    Mtandao wa Tigo uliongoza Kurekodi Majaribio Mengi ya Vitendo vya Udanganyifu mwaka 2023

    Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666. Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
  18. Felix Mwakyembe

    Udanganyifu katika mitihani una historia yake

    Udanganyifu kwenye mitihani una historia yake Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya...
  19. N

    Udanganyifu wa mitihani nchini una historia yake

    Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya taaluma mbali mbali. Ni takribani siku kumi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Udanganyifu kwenye mitihani uhesabike miongoni mwa makosa ya uhujumu uchumi

    Pamoja na yote maishani mwangu kitu kinaitwa udanganyifu kwenye mitihani nakichukia sana. Udanganyifu kwenye mitihani ndio mwanzo wa mla rushwa na fisadi. Kama mtu haogopi kufanya cheating kwenye mitihani huyo mtu katu abadani hatoogopa kula rushwa, hatoogopa kufisadi fedha na mali za umma...
Back
Top Bottom