daraja la tanzanite

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  2. Bemendazole

    Hali tete daraja la Tanzanite. Nashauri hili lifanyike

    Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite. Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu. Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia. Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves...
  3. Nyankurungu2020

    Kama daraja la Tanzanite lilijengwa kwa pesa za msaada wa Korea rais Samia anaweka tozo za nini? Haya ni maonevu kwq raia

    Tozo za nini wakati limejengwa kwa msaada wa Korea? 👇Daraja la Tanzanite na Barabara ya Kibaha kuwekewa tozo Daraja la Tanzanite na Barabara ya Kibaha kuwekewa tozo
  4. GENTAMYCINE

    Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  5. S

    Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

    Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
  6. Super Handsome

    Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  7. Analogia Malenga

    Mbarawa: Daraja la Tanzanite halilipiwi kwa sababu limejengwa kwa fedha za Serikali

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha...
  8. Kurzweil

    NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  9. M

    Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

    Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%. Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika...
Back
Top Bottom