Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu.
Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende zetu baridi ndani, huku tukionyesha ushujaa uchwara nyuma ya ID fake humu JF.
Lakini kadiri Siku...
Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika...
Leo naomba tujikite kumwangalia kwa kina mwanaharakati nguli wa haki za binadamu na demokrasia nchini, Maria Sarungi Tsehai. Katika mazingira yetu ya sasa ya kisiasa, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu uimara wa sauti huru. Hivyo, nawakaribisha wanajamvi wote kutoa maoni, kufanya uchambuzi, na...
Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi
Anyway ngoja nitoe elimu kidogo.
Viapo vyote...
Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
Kwako Dr Emmanuel Nchimbi;
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
TULIWAONYA sana na kuwasihi sana wazazi kuwa watoto wenu hawa kaeni nao chini na muwaonye na kuwafunza kuwa waache kuichezea serikali na dola lakini mliona tunawapigia kelele
TULIWASIHI sana kama kweli Maria na kundi lake wana uchubguna wanachowachochewa mfanye mboba hawakuwepo kwenye hayo...
Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣
Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa.
imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO...
What Samia Suluhu, Jakaya Kikwete and their offsprings need to understand is that we are already living in Post CCM Tanzania! Whatever you think you know about manipulating internal politics of CCM will not work with the society because we are past that! So all your scheming and idiotic plans to...
Anaandika Mwanaharakati Maria Sarungi kupitia ukurasa wa X:
Ni kwa matumaini makubwa ya ukombozi wa Tanganyika kwamba vijana wetu wa mstari wa mbele GenZ wameandamana na kuandamanisha vyombo vyote vya ulinzi kwa wiki mbili mfululizo.
👉🏽Tumeshuhudia likizo zote za polisi zikifutwa na wakiamriwa...
Hamjambo!
Haya kwao ni mafanikio Makubwa sana.
Fikiria leo mimi natangaza tarehe fulani watu watoke kuandamana. Kutakuwa na maandamano makubwa. Alafu mimi sina cheo chochote.
Sina pesa.
Sio kiongozi popote.
Sina majeshi.
Lakini kauli yangu tuu. Serikali na vyombo vya Dola vinaipa uzito kauli...
Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote za kisiasa za wanataka wafanye nini zaidi zaidi ni kufanya vurugu ili wapigwe na Mimi nasema WAPIGWE...
👉Maria sarungi alizaliwa nchi ya Hungary Tarehe 16 December, mama yake (Veronica Marton ) kwa kuwa alikuwa raia Hungary pia kwa mujibu wa Sheria za nchi ya hiyo alipendekeza mwanae "Maria Sarungi" pia awe raia wa Hungary,
👉Maria Sarungi alipewa "uraia wa ukoo" ( Citizenship by Descent )...
Kutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe...
Maria Sarungi ameandika jinsi ubongo wa Samia unavyotafsiri maneno.
Hii ndio kamusi ya Samia
In Samia Suluhu's authoritarian dictionary
Criticism of her = wananitukana
Protests/ Maandamano = kufanya fujo
To kill, abduct and torture = kuchapa mikwaju
Freedom of expression = nywinywinywi...
Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi
Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es...
Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria Sarungi amesisitiza kuwa Tundu Lissu ana rekodi ya kipekee ya utendaji isiyoyumba, na ndiyo sababu...
Website ya epstein files hi hapa na unaweza kusechi chochote kilichomo kwenye mafaili
https://www.justice.gov/epstein
Nimesechi Tanzania na nimekutana na matokeo mengi sana, najiuliza hao waiokuwa wanatajwa ni kina nani
Walifanya kama utani kwa Maria Sarungi kumtengenezea hadi picha za AI...
Wakuu
Nimekutana na hii taarifa huko X ikiambatana na huu ujumbe:
Kumbe maria alikua akiwauza dada zetu huko ughaibuni Ushahidi mzito umeibuka ukionyesha uhusika wa Maria Sarungi katika mafaili yanayohusishwa na kesi ya Jeffrey Epstein. Taarifa zinadai barua pepe kwa Epstein zilihusisha Miss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.