ndondi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ngumi ya mshindi haitoki mkononi bali kwenye moyo wa mshindi

    Mimi ni miongoni mwa watu waliozaliwa kipindi ndondi ndio mchezo mama wa dunia, mchezo uliobebwa na majina makubwa kama Mohamed Alli hadi kufikia Mike Iron Tyson mtu hatari kwenye uringo wa ndondi, nakumbuka mtaani kwetu kila mmoja alitamani kuwa bondia, ingawa kulikuwa na mashindano kuhusu...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tukio lililobadili sheria za ndondi kwenye muda

    Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo Aprili 6, 1893, huko New Orleans. Kuanzia katikati ya usiku , mapigano yaliendelea hadi asubuhi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ndondi: NKANE v/s KIBWANA - Mapungufu mengine kitengo cha Saikolojia Yanga

    Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi. Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe: Ndondi ni Maisha yangu

    Mwandishi: Asalam Aleykum Kaka Dullah, habari ya uzima wako? Dullah: Waleykum Salam Dada yangu, tunamshukuru Allah kwa neema na rikizi zake. Mwandishi: Kwanza kabsa napenda kuweka wazi kuwa wewe ni kati ya mabondia ambao wameipatia sifa kubwa sana Tanzania katika sekta ya michezo ya masumbwi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukiwa Bondia halafu hujui Kuroga au Kujiganga tegemea Kuzimia Ulingoni, kuwa Kilema haraka au hata Kufa kabisa

    BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia kwenye ubongo. Tatizo hilo liligundulika mchana wa jana Jumatatu Januari 27, 2024 baada ya...
  6. errymars

    JamiiForums Tanzania Tyson Furry atangaza kustaafu Ngumi baada ya kupoteza pambano lake la mwisho na Oleksandr Usyk

    Bondia wa ngumi za uzito wa juu, Tyson Fury, ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi baada ya kushindwa kwenye pambano na Oleksandr Usyk. Taarifa hii inakuja siku mbili tu baada ya Eddie Hearn kufichua mipango ya pambano kati ya Fury na Anthony Joshua katika Uwanja wa Wembley, ambalo lilikuwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Naona sasa mchezo wa ndondi nao wameingia kwenye mfumo waja na ''Knock out ya mama''

    Wakuu ! Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali. Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tyson Fury: Natakiwa kumpiga Oleksandr Usyk kwa K.O sio kwa Pointi

    Bondia Tyson Fury amesema anatakiwa kumpiga mpinzani wake, Oleksandr Usyk kwa K.O na sio kwa pointi kwa kuwa anaamini wakimaliza pambano na matokeo yakakiwa kuamuliwa kwa pointi basi itakuwa ngumu kwake kushinda. Pambano la marudio la wababe hao limepoangwa kufanyika Jumamosi Desemba 21, 2024...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Patrick Nyembera unakerwa na elimu kuhusu ndondi aliyo nayo Aidan Mlimila?

    Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika mapambano mengi huwa wanakuwa na watu wengine kwenye kuelezea michezo hiyo na kuwapa radha watazamaji...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mvurugano wa Mwakinyo na mapromota umeibua mengi ya ovyo yaliyopo kwenye ngumi

    Mimi sio mtu wa mchezo wa masumbwi ila nimelazimika kufuatilia huu mzozo kati ya Mwakinyo na mapromota na kujikuta nimejua mambo kadhaa kuhusu mchezo huo. Na baada ya wengi wenu kunisihi nitoe maoni yangu kuhusu hili sakata nimeona acha nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hayati Karume aliukataa mchezo wa ndondi Zanzibar leo unarudishwa. Je, tunatafuta laana yake kilazima?

    Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bondia Mandonga adhibitiwe kauli zake za kihuni zisije kuchafua Mchezo wa Ngumi

    "Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndondi: Bondia Twaha Kiduku ampiga Lago Kiziria kwa pointi

    Bondia Twaha Kiduku amefanikiwa kupata ushindi huo na kutetea Mikanda ya PST na UBO Inter Continental, Uzito wa kati Super Middleweight (Kilogram 76) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Tanzanite Mkoani Morogoro. Majaji wote watatu wamempa ushindi Kiduku kwa Pointi 98-92, 98-92, 97-93 licha ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndondi: Anthony Joshua amshinda Jermaine Franklin kwa pointi

    Joshua (33) amepata ushindi wa kwanza tangu Mwaka 2020 licha ya mashabiki kutoridhishwa na kiwango alichokionesha katika pambano hilo lisilo la mkanda la raundi 12 kwenye Ukumbi wa O2 Arena, London. Majaji wawili walitoa pointi 117-111 kila mmoja na mmoja pointi 118-111 ambapo baada ya raundi...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndondi: Stumai Muki amchakaza Chimwemwe Banda

    Bondia Mtanzania Stumai Muki amefanikiwa kushinda dhidi ya Chimwemwe Banda raia wa #Malawi kwa pointi katika pambano la Raundi 8 uzito wa kati Super Fly jijini Dar es Salaam. Mara baada ya pambano hilo Stumai amesema ametimiza kile alichokiahidi kwa Watanzania wakati upande wa Chimwemwe amedai...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndondi: Pambano la Tyson Fury na Oleksandr Usyk hatarini kutofanyika

    Pambano limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Wembley, Aprili 29, 2023 lakini halitakuwepo baada ya Oleksandr Usyk kumtupia lawama Fury. Timu ya Usyk imedai licha ya Fury kunufaika katika mgawanyo wa malipo kwa asilimia 70-30 lakini ametoa masharti mengi ambayo yameonekana kumkwaza Usyk...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Skendo za upangaji matokeo kwenye ndondi nani awajibishwe? TPBC, Mapromota au wadamini

    Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia. Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu. Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji walioko huku Tanzania, basi tufahamu ya kuwa tayari bomba linavuja na dunia imeanza kufahamu kuwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  20. Peculiar

    JamiiForums Tanzania Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua" Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
Back
Top Bottom