twaweza

  1. JanguKamaJangu

    Mkurugenzi TWAWEZA: Siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' wanaiba Taarifa Binafsi na kuzitumia vibaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TWAWEZA, Aidan Eyakuze amewasii wadau kulinda taarifa binafsi za wateja wao huku pia akiwataka Wananchi kuwa makini wanapotoa taarifa zao ambapo amedai kuwa siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' ambao uchukua taarifa za watu na kuzitumia kwa madhumuni yao bila...
  2. BARD AI

    Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  3. N

    Utafiti TWAWEZA: Asilimia 53 ya watanzania wameridhika na maboresho ya huduma ya afya

    Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita. Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
  4. kavulata

    Twaweza achezi kujikomba

    Je, ingekuwaje kama utafiti wenu ungeonyesha kuwa 90% wanwatanzania hawapendi tozo kwenye miamala: Je, matokeo ya utafiti wenu mngeyatoa hadharani? msingekamatwa? je, ni kweli watanzania hawana manung'uniko na tozo kwenye miamala?
  5. The Sunk Cost Fallacy

    TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂. CHADEMA kazi mnayo...
  6. Boqin

    UZUSHI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  7. Roving Journalist

    Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  8. kevylameck

    Kenani Kihongosi na ripoti ya TWAWEZA ya mwaka 2017

    Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo. Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa wa mtu binafsi kujihusisha moja kwa moja kwenye siasa kama mwanachama wa chama au mgombea wa chama...
  9. Roving Journalist

    TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  10. Erythrocyte

    TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  11. Miss Zomboko

    WEF yamtaja Mkurugenzi TWAWEZA, Aidan Eyakuze, miongoni wa watu 50 wenye ushawishi na wanaohamasisha mageuzi ya kiutawala

    Eyakuze ni mmoja kati ya Waafrika watatu pekee kwenye orodha hiyo na mmoja kati ya 11 ambao hawako katika utumishi wa serikali. Taasisi ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) inayoshughulika na utawala bora na Apolitical, zimemtambua Eyakuze kwenye orodha ya watu 50 wanaohamasisha maboresho na...
  12. Sauti za Wananchi

    UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

    Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015. Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017 Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...
Back
Top Bottom