CCM kuvifanyia maboresho vyombo vyake vya Habari

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI

Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba.

“karibuni Nilifanya ziara katika baadhi ya vyombo vya habari vya serikali na binafsi ili kuimarisha mahusiano yetu lakini pia kujifunza na kupata uzoefu ili tuweze kusimamia vyema dhamira na azma ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan katika kuvifanyia marekebisho na maboresho ya kimfumo vyombo vyetu vya chama ili vikidhi haja na mahitaji kulingana na mazingira ya wakati tulionao katika kuhabarisha umma” Alisema Shaka.

#ChamaImara
#KaziIendelee
IMG-20220806-WA0043.jpg
IMG-20220806-WA0044.jpg
IMG-20220806-WA0039.jpg
 
Wacha wafanye si walisema watatumia pesa ya serikali kuboresha viwanja, Bunge lao nchi yao na mama mtoa pesa.
 
Back
Top Bottom