matuta

Matuta is a genus of crabs in the family Matutidae, containing the following species:
Matuta circulifera Miers, 1880
Matuta planipes Fabricius, 1798
Matuta purnama Lai & Galil, 2007
Matuta victor (Fabricius, 1781)
Matuta victrix

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Man United yaingia Fainali ya FA kwa matuta 4-2

    Licha ya Manchester United kuongoza kwa magoli 3-0 hadi dakika ya 70 dhidi ya Timu ya Coventry City inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) lakini hadi dakika ya 90 zinakamilika matokeo yalikuwa sare ya magoli 3-3. Baada ya kuongeza dakika 30 za nyongeza katika Nusu Fainali hiyo ya...
  2. Trubarg

    Sababu gani inafanya mji Gairo kuwa na matuta mengi Barabarani

    Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
  3. JanguKamaJangu

    Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

    Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo. Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
  4. D

    Hongereni Tanroads, TARURA na DC Kigamboni kwa kukubali kutuondolea yale matuta pale mnadani

    Shukurani na pongezi ziwafikie Tanroads,Tarura na DC kigamboni kwa kukubali kuyaondoa Yale matuta mabaya pale mnadani! Uongozi ni kusikiliza, Tunawashukuru sana! Kama kutakuwa na ulazima sana wa tuta mahali pale, BASI YATUMIKE YALE MATUTA MAKUBWA MAPANA! Lakini kwa sasa Hall ni shwari kanisa...
  5. D

    TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

    Kwa nia njema! Tarula/ Tanroad mmeweka matuta ili kupunguza speed! Lakini aina ya matuta mliyotumia ni mabaya sana na yanaharibu vyombo vya moto! Pia mbali na kuharibu vyombo vya moto yanatikisa mwili hadi ubongo! Sasa kwa vile njia hiyo pia inaelekea hospital! Ikipitisha wagonjwa na wenye...
  6. figganigga

    Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

    Salaam Wakuu, Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi. Huyu Mzee angeongoza miaka 10, angeiacha nchi yetu hoi. Itakuwa alikuwa anakula 10% halafu akija Jukwaani anafoka. Hakuna...
  7. D

    TANROADS na TRC wekeni matuta kwenye makutano ya barabara na njia za treni; Alama na ishara hazitoshi maeneo hayo

    Ile kanuni ya treni kwamba huwa haigongi bali hugongwa haikuwa na maana hii kama inavyoelezwa na wengi! Kama ni sheria au kanuni Basi waliopitisha hawakufikilia vizuri! Treni haigongi porini lakini linapokuja suala la muingiliano wa njia za treni na barabara treni inaweza kugonga! Kwasababu...
  8. Faana

    Tujadili Changamoto za Matuta Barabarani na Namna ya Kufanya Maboresho

    Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
  9. Kurunzi

    Kilio cha WanaJF kimesikika, Matuta ya Lugalo barabara ya Bagamoyo yamepunguzwa

    Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo junction ya kuingilia Lugalo. --- Pia soma - Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?
  10. FRANCIS DA DON

    Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

    Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili? ============================ Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
  11. John Haramba

    Iringa: Wananchi wafunga barabara kushinikiza matuta barababarani

    Wananchi wa eneo la Kitwiru mkoani Iringa wamelazimika kufunga barabara kwa muda, wakishinikiza kuwekwa kwa alama ya wavuka kwa miguu au matuta, kutokana na matukio ya ajali za mara kwa mara za watu kugongwa katika barabara hiyo. Wakazi hao wamesema wanawaomba Wakala wa Barabara. Tanzania...
  12. Nafaka

    Marekani imewalipa wadukuzi wa mtandao waliodukua system za bomba la matuta na kusababisha uhaba mkubwa wa mafuta kwa siku 5

    Bomba kubwa la mafuta nchini Marekani limeripotiwa kuwalipa wahalifu wa mtandaoni wanaofahamika kama DarkSide kiasi cha dola milioni tano $5m (£3.6m) kama kikombozi ,baada ya bomba hilo kuvamiwa mtandaoni. Bomba la Colonial lilikuwa linapata wakati mgumu kufanya shughuli zake baada ya kudukuliwa...
  13. H

    Matuta makubwa barabara za vumbi mitaani na vijijini yanavyo sababisha kero na uharibifu wa magari

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Kumekuwa na tabia ya kuweka matuta kwenye barabara za vumbi za mitaa au vijijini kwa nia ya kupunguza ajali katika mitaa husika hasa ajali za watoto zinazohusisha pikipiki. Kufanya juhudi za kupambana na ajali ni jambo jema isipokuwa...
Back
Top Bottom